Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss Jf2024: Nani Mrembo kuliko wรดte humu JF

  • 1. Midekoo

    Votes: 11 7.9%
  • 2. Palina

    Votes: 9 6.4%
  • 3. Binti kiziwi

    Votes: 15 10.7%
  • 4. Kapeace

    Votes: 14 10.0%
  • 5. Mamndeny

    Votes: 8 5.7%
  • 6. Evelyn salt

    Votes: 30 21.4%
  • 7. Lovie Sundy

    Votes: 7 5.0%
  • 8. To yeye

    Votes: 27 19.3%
  • 9. Kalpana

    Votes: 6 4.3%
  • 10. Numbisa

    Votes: 13 9.3%

  • Total voters
    140
  • Poll closed .
Mpo salama Wakuu!

Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yรดte Kwa yรดte yeye ndiye aliibuka kidedea.

Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.

1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.

VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yร ani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.

2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwรจpo wake JF unakupa Raha.

3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Hutaki Kรบpiga Kura pita kushoto.
Hao wote uliowaweka bila kuwaweka
Nifah
Bantu Lady
Kelsea
Aaliyyah (Mama Somefoodies ๐Ÿคฉ)
Leejay49 (Miss Charity aka pure hearted ) lady
Bila hao members nilio wa mention poll system yako imefeli anza upya Mtibeli
 
Hakuna haki hapa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mtu mbabe tuu kila mda..

Alafu anaongoza ndo nini sasa..
Mi nakata rufaa dadek ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Mwisho wa wa shindano nitafanya kama Dovutwa A. Dovutwa natangaza "nimejitoa katika uchaguzi kura zangu nampa fulani"

Tz kuna vituko walah
 
Kuna mmoja hivi Mshamba fulani, mpenda Sifa na Umaarufu, Godoro la Wengi, anajifanya Mtu wa Info za Ndani, Keshabanduliwa na Njemba kadhaa hapa huku akijifanya Yeye ni JamiiForums na JamiiForums ni Yeye nashangaa katika List yako hayuko.

Hata hivyo kwa Sura yake mbaya, Kukondeana Kwake kama Fidodido, Ushamba alionao kuanzia Kwao / Alikokuwa amepanga Gongo la Mboto sijashangaa kutokuwepo na najua huko aliko Kanuna kweli kweli Kudadadeki zake.

Imeisha hiyo.

Charismatic kashasema, ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Najaribu kufikiri ni nani lakini simpati. Ngoja nisubiri mafyekeo yatokee yote nitamjua tuu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hatareee hiyo...
Sema ubabe acha sawa...
1729004166044.jpg
 
Back
Top Bottom