Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Subir nisome Uzi nijue nn kinaongezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subir nisome Uzi nijue nn kinaongezwa
HahahaRumor has it, some contestants are really old, and are about to retire from public service. 🤣
Eeh swadakta hayo ndo mambo yangu hapa nasubir nikae sawa kuanzia wiki ijayo ni recipe tu muhimu tusilale bila kula 😀😀vigezo vyao ni vipi? na huo urembo tunaangalia avata zao au tunawezaje kuwatofautisha? wapenda misosi tutaegemea kwa @Ailiyah
Hivi vigezo vinapelea, yani mtu apigiwe kura za umiss kutokana na michango yake na imaginations!? Hii sio kabisa, interested contestant atupie picha ndio tuchague. Hatutaki ushindi wa maruhani.Mpo salama Wakuu!
Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.
Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.
1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.
VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yàani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.
2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwèpo wake JF unakupa Raha.
3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi😊😊
Hutaki Kúpiga Kura pita kushoto.
Wajumbe wanasema hii ni Uongo Shem Bae😀Usinipopoe shem, si nimeongea ukweli lakini 😅
Haswaa nakuelewaEeh swadakta hayo ndo mambo yangu hapa nasubir nikae sawa kuanzia wiki ijayo ni recipe tu muhimu tusilale bila kula 😀😀
Pia bibi FAIZANaunga mkono hoja bro
eroni ukweni😂Babe mshahara haujatoka🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo yupo gaza huko🤣Pia bibi FAIZA
Dada zangu wa kichaga humu ni simba waenda pole ila ni moto wa hatari 🤣Mbona alisema ana bandama kubwa, kumbe namshinda😅