Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hakuna haki hapa ๐๐๐๐๐
Mtu mbabe tuu kila mda..
Alafu anaongoza ndo nini sasa..
Mi nakata rufaa dadek ๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haki hapa ๐๐๐๐๐
Hao wote uliowaweka bila kuwawekaMpo salama Wakuu!
Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yรดte Kwa yรดte yeye ndiye aliibuka kidedea.
Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.
1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.
VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yร ani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.
2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwรจpo wake JF unakupa Raha.
3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi๐๐
Hutaki Kรบpiga Kura pita kushoto.
Chapati zake tamuuuuuvigezo vyao ni vipi? na huo urembo tunaangalia avata zao au tunawezaje kuwatofautisha? wapenda misosi tutaegemea kwa @Ailiyah
Mwisho wa wa shindano nitafanya kama Dovutwa A. Dovutwa natangaza "nimejitoa katika uchaguzi kura zangu nampa fulani"Hakuna haki hapa ๐๐๐๐๐
Mtu mbabe tuu kila mda..
Alafu anaongoza ndo nini sasa..
Mi nakata rufaa dadek ๐๐๐๐๐
Watu muhimu sana wameachwa, huyo Mshangazi ni dogo wa kiume mwenye stress za maisha anayetafuta relief kwa kujifanya ni ke
Kuna mmoja hivi Mshamba fulani, mpenda Sifa na Umaarufu, Godoro la Wengi, anajifanya Mtu wa Info za Ndani, Keshabanduliwa na Njemba kadhaa hapa huku akijifanya Yeye ni JamiiForums na JamiiForums ni Yeye nashangaa katika List yako hayuko.
Hata hivyo kwa Sura yake mbaya, Kukondeana Kwake kama Fidodido, Ushamba alionao kuanzia Kwao / Alikokuwa amepanga Gongo la Mboto sijashangaa kutokuwepo na najua huko aliko Kanuna kweli kweli Kudadadeki zake.
Imeisha hiyo.
๐๐๐๐๐๐ Hatareee hiyo...Mwisho wa wa shindano nitafanya kama Dovutwa A. Dovutwa natangaza "nimejitoa katika uchaguzi kura zangu nampa fulani"
Tz kuna vituko walah
๐๐๐๐๐๐ Hatareee hiyo...
Sema ubabe acha sawa...
๐๐๐ Watakukimbia kudadek...
Nipigie nipo pale pale tunako kulaga miguu ya kuku na supu ya bandama ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hiyo ya mwaka jana mbona mi sikuiona!, halafu mnapigaje kura urembo ikiwa picha zao hatujaziona..?
there's something not going good here!
waambie washiriki wote hapo wanitumie picha zao pm ndo nipige kura yangu!
Aanze upya kakosea unamuacha vipi ledada , Makiwendo , financial services Cute Wife ???
Huyo Compresor yake ni nzima fridge likizimwa....Mbona alisema ana bandama kubwa, kumbe namshinda๐
Ahsante Manyanza...Aanze upya kakosea unamuacha vipi ledada , Makiwendo , financial services Cute Wife ???
Robert Heriel Mtibeli soma maoni yetu na uboreshe.