Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima niumbuke wakisema tuweke picha,na ubonge huu😭Hivi hili shindano lipo?? Hebu acheni masihara basi .. wengine hata visogo tuu hamvijui huo urembo vipi....au ni ze wey mnasoma mwandiko wa mtu hapa Jeifu...😀😀😀😀
Hapo labda sisi wa kule selfika naweza kupiga kura
Bantu Lady
Kapeace
To yeye hao nimeshawaona japo nusu sura...ni warembo inlcuding me...😀😄😄
🤣🤣🤣Kwani hawakujui🤒Hadi sasa kura za wajumbe zimefika afu mbili nsipotangazwa....nitakachokifanya nisilaumiwe
Lazima niumbuke wakisema tuweke picha,na ubonge huu
Wee waache waeke mawowo yao hatarini 😹😹😹Jamiiforums tupo madem wawili tu, mimi na Lamomy
Hao wengine wote uliowataja ni MADUME TUPU, sasa ujichanganye utadinywa WOWOWO.
Kuna mmoja hapo ni OSTAZI lenye madevu. Cc: FaizaFoxy
Cc: Kalpana Kapeace Poor Brain Extrovert binti kiziwi Bantu Lady Mpaji Mungu
Upo mwanampotevu?Wee waache waeke mawowo yao hatarini 😹😹😹
Ila wizo uchinjwe 9 December, Xmas mbali utatusumbua.. yani nimecheka khaaaa.!!
Namba sasa P tuma namba nikupigieeee jina litakuja nani vile 😀na Da eve ‘Kwani ukwapi? 😁😁😁😁😁 Evelyn Salt
Shindano lijalo tupate na kapicha kabisaMpo salama Wakuu!
Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.
Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.
1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.
VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yàani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.
2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwèpo wake JF unakupa Raha.
3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi😊😊
Hutaki Kúpiga Kura pita kushoto.
Nipo shogaangu nimerudi, kura yangu unayo na kombe lazima uchukue sisi wachambuzi tulishalisema hili mapemaaaa 😘😘😘Upo mwanampotevu?
Nishasema mi ni msela sasa ndo umefanyaje tena,, nabadilika kutokana na uzi,Nipo shogaangu kura yangu unayo na kombe lazima uchukue sisi wachambuzi tulishalisema hili mapemaaaa 😘😘😘
Nkamu Saint Anne njoo huku tumpigie kura mahi wetu kapeace 😹😹😹
Babu Grahams njoo upige kura bibi yuko nominated 😜
😹😹😹 msela hiyo kwiyooNishasema mi ni msela sasa ndo umefanyaje tena,, nabadilika kutokana na uzi,
😹😹😹 mmeanza nongwa zenuWabongo mna tabu sana
Wabongo mnapenda mambo ya kufikirika ndio maana mnatapelika
Unapigaje vote bila ya kujua uhalisia wa urembo wa mtu ???
Wabongo!! Kwahelini.