Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Hongera sana kama ndio hivyo
 

Shukrani sana mkuu na nimeifurahia interview ya leo
 
Huu utaratibu wakusema maswali ya audience yajibiwe baadaye mbaya sana, muda ataupatia wapi, ajibu hapahapa ,ndo vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini umemuingilia bila kusubiri amalize.. ndio uulize mengine!?
Kwa sababu hataki tuulize maswali..kila maswali yeye tu aulize?? Ndio maana imebidi niulize halafu baadae ukiuliza swali lako la msingi unaambiwa limeshajibiwa tayari kwa hiyo unakuwa discouraged..

Hata hivyo sikuwa na nia ya kumuharibia kwa maana Mhusika anajibu maswali papo hapo
 
Yaani mimi kila kitu nachukulia serious.

Nimeamini kati ya uliyosema hapa leo. Karibia 90% inatuambia wewe ni nani. Usiniambie ulikuwa unatania hapa.


So mimi nafurahi kukufahamu dada yangu.
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]
Nakazia tu.
 
ila kuna jambo huwa linanishangaza shogaa kuna wanaume ni wazuri,warefuu yaani wamejazia mwili wa kiume kabisa ila wana vibamia hatare .shida ni nini? hormone au vilikatwa?
Huo utafiti uliofanya kwa kuchukua sample ya wanaume wangapi? Kutoka sehemu zipi?
 
Nakupenda pia mamii, ubusy wa leo nimekwazika sana kweli jf ni ugonjwa mbaya sana ila ndio hivyo mwaya hakuna namna lazima kazi zifanyike tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…