Nipo dada napambana na hali yangu ya uchelewaji, mechukia page ya 30 duuhTunakupenda pia, mwenyewe nimeotea mara paaaaaaaap miss natafuta kikaangoni page ya kumi na mbili eeehh...... Ney Sijui yuko wapiii leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Nakuona tu unavyosogea mdogo mdogo ila jitahidi swahiba utazimaliza zote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Kweli kabisa ndio mana mi pia napenda kuingia nikiwa nishamaliza vishughuli vyangu mana uteja wa jf haujawahi muacha mtu salama.Nakupenda pia mamii, ubusy wa leo nimekwazika sana kweli jf ni ugonjwa mbaya sana ila ndio hivyo mwaya hakuna namna lazima kazi zifanyike tuu.
Miss Natafuta hapa ndo unapotofautiana na wadada wengi humu.Upo free mpka Raha!you know what My Man anakupendaga kwa jinsi ulivyo.I dare to say this.Huwa lazima akuongeleeeeee.Na Mimi nilishamgundua.nafight sana kupunguza mwili wangu mkuu.sijivunii kuwa mnene ila namshukuru mungu sana kwa kuniumba hivi nina papuchi ya kutosha siwezi kufa njaa mjini
Njoo hukuuu achana napo hapaNakupenda pia mamii, ubusy wa leo nimekwazika sana kweli jf ni ugonjwa mbaya sana ila ndio hivyo mwaya hakuna namna lazima kazi zifanyike tuu.
Kuna Uzi mmoja ulisema Ngoja nishushe Engine kwanza.Je ulimaanisha kuna mjanja alikuwai?ni picha tu mkuu ila ina fanana kiasi na mimi
Hahaha wewe sio wa spot spotahahaaa jumlisha na kutoa .I mean huu mwili wangu unatongozeka bado
Haaa haaa una yako so bureeeHakuna tatizo hapo, mletaji atapata hospitality pia. Unaniletea wewe siyo?
Aah wapi nimeshauliza maswali yangu yamejibiwa nimeshamaliza..wengine endeleeni
Asante kwa tag
Pole mamyNipo dada napambana na hali yangu ya uchelewaji, mechukia page ya 30 duuh
Nakuona ujueMiss Natafuta hapa ndo unapotofautiana na wadada wengi humu.Upo free mpka Raha!you know what My Man anakupendaga kwa jinsi ulivyo.I dare to say this.Huwa lazima akuongeleeeeee.Na Mimi nilishamgundua.
Una mambo Adimu.Nakwambia tena.
Kiroho safi tu.Wewe ni MTU.Tena Unayejijuaaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
The makafi ugaliSio mbaya ngoja wengine tushibe kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue uliniquote kule kwa josse naanzaje kukuita sasa woiiii
Wewe njo huku Ney jamaan huku upo mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ohooo am coming [emoji125][emoji125][emoji125]Jitahidi
Kuna ya Faiza upande wa pili kule
Nipo njiani kipenzi [emoji124][emoji124][emoji124]Ney achana nayo njoo huku kwa faiza mpaka umalize sio leo ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe njo huku Ney jamaan huku upo mwenyewe
Naona leo mjiachia tu kiswahili raha sana aiseeNakuona ujue