Laiti ungejua mimi binafsi km kuna kitu nakosa ni maadui,..! Mimi huwa ni kichefuchefu zaidi ya mama mjamzito, kunitibua dakika sifuri ila tukiachana ukiendeleza bifu know ur wasting yr time normally i don'bother with my backs especially those things with negativities..!sina adui yoyote .ila mimi ni adui wa wengi humu including you!
Hahaha biashara ya kunenepesha na kurefusha imevifanya viwe adimu saana, nitafute nikuoneshe kimojanapenda vibamia mkuu japo navo vimeadimika sijui siku hizi mehamia kwenye vumbi la kongo?
kapeace wewe pia ni mpenzi wa vibamia?
Nimetaona hayana mikato mikatoUmeona majibu ya mpalestina?
UpoooNimetaona hayana mikato mikato
Nipo Mae za masikuUpooo
Ni poa tu umemisika ujueNipo Mae za masiku
Asante Mae me pia mamyNi poa tu umemisika ujue
Tukutane DecemberAsante Mae me pia mamy
wanasema "an apple a day keeps u off from th doctor" ...ukipata yale ya asili kutoka Tanga ni bora kuliko ya Sauzi...na kwa vile wewe ni "bonge" active usione uvivu kula matunda kwa afya yako tupia na tango,tikti,bamia kuiweka papuchi level ya juunapenda matunda yote ,ila aaple,machenza,ni zaidi nanasi na chungwa napenda sana ila ni mvivu kuyala maana yanaitaji muda kuandaa.
kuhusu wanyama nampenda sana mbuzi maana supu yake tamu
Kabisa japo j3 naenda huko kuna msiba Wa Mimi Yangu mmojaTukutane December
hapa mjini bwana nakereka na swala la uchafu,dsm ni mji mchafu jamani ,mitaani,barabarani,beach yaani watu sio wastaarabu kabisa1) ni kero zipi zinakukera hapa mjini
2) ungepewa nafasi ya kua balozi wa tanzania ungependa kwenda nchi gani na kwa nini na tungetemea nini kutoka kwako
ni kweli huu mji una kero sana hazihesabiki...hapa mjini bwana nakereka na swala la uchafu,dsm ni mji mchafu jamani ,mitaani,barabarani,beach yaani watu sio wastaarabu kabisa
kuhusu ubalozi haitokaa itokee bna sina hata haja ya kuwaza uliza vitu realistic!
Nani unampenda Sana role model wako hapa jf na nani hupendi accoment post zako?mimi ni kibonge flani japo sio sana nina kg 93.ile avatar ilikuwa ni mimi mkuu so niliitoa kwa sababu maalumu
Unapenda mwanaume kibamia au msembwene?ni picha tu mkuu ila ina fanana kiasi na mimi
Na wale wanabadili ID every other day!