Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

sina adui yoyote .ila mimi ni adui wa wengi humu including you!
Laiti ungejua mimi binafsi km kuna kitu nakosa ni maadui,..! Mimi huwa ni kichefuchefu zaidi ya mama mjamzito, kunitibua dakika sifuri ila tukiachana ukiendeleza bifu know ur wasting yr time normally i don'bother with my backs especially those things with negativities..!

Anyway all the best adui rafiki, mimi ni mtu defined(i hv direction) kwa kila kitu...! Kitu kimoja ni mpinzani wako kuanzia mwili hadi mawazo we chibonge mwenzio kimbaumbau(Betina na Zena).

I promise kuwa yr opponent ever in JF, but hateless!
 
napenda matunda yote ,ila aaple,machenza,ni zaidi nanasi na chungwa napenda sana ila ni mvivu kuyala maana yanaitaji muda kuandaa.
kuhusu wanyama nampenda sana mbuzi maana supu yake tamu
wanasema "an apple a day keeps u off from th doctor" ...ukipata yale ya asili kutoka Tanga ni bora kuliko ya Sauzi...na kwa vile wewe ni "bonge" active usione uvivu kula matunda kwa afya yako tupia na tango,tikti,bamia kuiweka papuchi level ya juu
 
1) ni kero zipi zinakukera hapa mjini
2) ungepewa nafasi ya kua balozi wa tanzania ungependa kwenda nchi gani na kwa nini na tungetemea nini kutoka kwako
 
1) ni kero zipi zinakukera hapa mjini
2) ungepewa nafasi ya kua balozi wa tanzania ungependa kwenda nchi gani na kwa nini na tungetemea nini kutoka kwako
hapa mjini bwana nakereka na swala la uchafu,dsm ni mji mchafu jamani ,mitaani,barabarani,beach yaani watu sio wastaarabu kabisa
kuhusu ubalozi haitokaa itokee bna sina hata haja ya kuwaza uliza vitu realistic!
 
hapa mjini bwana nakereka na swala la uchafu,dsm ni mji mchafu jamani ,mitaani,barabarani,beach yaani watu sio wastaarabu kabisa
kuhusu ubalozi haitokaa itokee bna sina hata haja ya kuwaza uliza vitu realistic!
ni kweli huu mji una kero sana hazihesabiki...
1) nini ushauri wako kuhusu mfumo wa elimu kuadaa wahitimu kua waajiriwa badala ya kujiajiri...je kuna haja ya kuboresha mfumo au huu uliopo unaedana na karne hii sasa
 
ni lini ulijikumbali na kua na amani na ubonge wako..ukiwa secondari au chuo? nini ushauri wako kwa wanawake wengi bonge wasiojikumbali na kujiopenda
 
Na wale wanabadili ID every other day!

Nothing to it but growing, to some of us. Fikra zinatanuka, mawazo yanabadilika, na mazingira kwa ujumla. Niliyekuwa namchukulia kama role model juzi, leo ameshuka kwenye listi na wengine wapya wamechukua nafasi. Plus I simply never fully felt the energies that came with the previous ones.

P.S. Got a little knowledge on profiling and psychology and I was simply warning y'all about the character of the moment, without disturbing the peace. My mistake you feel some type of way.
 
Back
Top Bottom