bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Laiti ungejua mimi binafsi km kuna kitu nakosa ni maadui,..! Mimi huwa ni kichefuchefu zaidi ya mama mjamzito, kunitibua dakika sifuri ila tukiachana ukiendeleza bifu know ur wasting yr time normally i don'bother with my backs especially those things with negativities..!sina adui yoyote .ila mimi ni adui wa wengi humu including you!
Anyway all the best adui rafiki, mimi ni mtu defined(i hv direction) kwa kila kitu...! Kitu kimoja ni mpinzani wako kuanzia mwili hadi mawazo we chibonge mwenzio kimbaumbau(Betina na Zena).
I promise kuwa yr opponent ever in JF, but hateless!