Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Dah kitu kimepikwa hiki yaani mimi mwenyewe leo na miaka 20 ndio naingia mwaka wa3 bachelor of pharmacy..Huyo 18yrs masters holder dah inakatisha tamaa mkuu.

Hiyo ni tz unaweza usisome kabisa ukaju tu "come here", "what is your name" ukawa muhadhiri mkuu, hayo yapo
 

MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU ANA MIAKA 23 NA SIO 18
Katibu wa kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa amesema kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu amezaliwa mei 31 mwaka 1991 na umri wake sahihi ni miaka 23 na sio miaka 18 kama ilivyozagaa sehemu mbalimbali.
Katibu huyo aliongeza kuwa Sitti ana shahada ya ya uhusiano wa kimataifa na alimaliza masomo yake Desemba mwaka jana katika chuo kikuu cha North Texas kilichoko kwenye jiji la Dallas nchini Marekani.
Sitti Mtemvu bado hajasoma ngazi ya shahada ya uzamili (Masters) kwa sasa ila anatarajiwa kwenda kusoma ngazi hiyo huko nchini Marekani
 
''MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU ANA MIAKA 23 NA SIO 18

Katibu wa kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa amesema kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu amezaliwa mei 31 mwaka 1991 na umri wake sahihi ni miaka 23 na sio miaka 18 kama ilivyozagaa sehemu mbalimbali.
Katibu huyo aliongeza kuwa Sitti ana shahada ya ya uhusiano wa kimataifa na alimaliza masomo yake Desemba mwaka jana katika chuo kikuu cha North Texas kilichoko kwenye jiji la Dallas nchini Marekani.
Sitti Mtemvu bado hajasoma ngazi ya shahada ya uzamili (Masters) kwa sasa ila anatarajiwa kwenda kusoma ngazi hiyo huko nchini Marekani'' Misho wa kunukuu
 

huyo katibu anabishana na passport pamoja na baba yake?
 
Nilishasema ukiona jambo lolote lina harufu ya ccm,jambo hilo weka mbali na watoto..! Hapa mimi sisogelei kabisa mashindano yote ya urembo,siangalii tbc-ccm wala kusikiliza radio clouds na hii radio mpya efm nimegundua nayo ni ya wachumia tumbo na ina harufu ya ccm nayo nimeshaweka mbali na watoto.
 

Wanazidi kulikoroga na hiyo passport inayoonekana kazaliwa 1989.......!!!
 
Ni swali tu kwa kweli: Hivi huko kwenye mashindano yao wanataka miaka mwisho mingapi? Kama hajaivuka mwacheni achukue kwa amani. I hate mashindano hayo!
 
Speech ya kwanza ya huyu Miss mara baada ya kupata umiss ilinipa maswali(Alisema anatoa pongezi kwa wazazi"BABA" kwa kumsapoti sana),lakini nae BABA akasema kuwa binti yake sasa ataendesha MTEMVU FOUNDATION.Kibaya zaidi nikimuangalia mshindi wa 2 alivyomzidi namba 1 nikapata majibu ya kilichofanyika.
 
Nadhan hakufanya b`day kwa miaka kadhaa ndo maana umri umecmama hpo katika 18
 
ushahidi mwingine huu hapa,ana mtoto(amekiuka masharti) ,pili umri wa mtoto its about 8 years..... so alizaa wakati ana miaka 10?plus MASTERS....ama kweli haya ndo maajabu ya Uncle Lundenga under the influence of Mzee Mtemvu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…