Atakuwa kakuelewa!Tonykp mimi mfalme njozi najua umelenga wapi ila kaa sawa huu mji hata makamanda wanabanjuliwa unamkumbuka balow na mwalimu?walimu noma! Erickb52 naomba umwambie acheze kwa step asimkanyage mwenziye ila kama unataka kufundwa kuhusu mashori wa jf basi sema tukuunganishe na Madame B huyo atakupakulia singo matata kuhusu JF sholis kila la heri nahuyo unaye mmiss
Hata sijakusoma mkuu!Za asubuhi wenyeji,naona mshamuka.zile starehe za nyani ,za kukalia muti na kuota jua ndo hizi siku hizi. Digital age,digital love...hivi karibuni tutaenda digital sex. Tayari kunayo fone sex. Nawatakia siku njema na starehe za ki nyani za kisasa.
Erickb52, ni nini huelewi? Starehe za kinyani za siku hizi,ni kushinda humu JF. Aisee Techno zipo !
Kijana wewe ndio wale wale!Erickb52, ni nini huelewi? Starehe za kinyani za siku hizi,ni kushinda humu JF. Aisee Techno zipo !
Erickb52, ni nini huelewi? Starehe za kinyani za siku hizi,ni kushinda humu JF. Aisee Techno zipo !
wach_francis we ndio hovyoo, kina kuuma nini watu kuwemo humu jf hasa Chit Chat ? Masaa ya kazi yanatofautiana bwana mdogo tena jichunge sana na kauli zako za kipumbavu za kuona tuliomo humu hatuna shughuli za kufanya.
Hasa wewe hapo. hauna shughuli kabisaa..
Siwezi jibishana na ant Chit-Chat nimeshagundua nyie mmetumwa kuja vuruga upendo wetu humu ndani.
Tonykp mimi mfalme njozi najua umelenga wapi ila kaa sawa huu mji hata makamanda wanabanjuliwa unamkumbuka balow na mwalimu?walimu noma! Erickb52 naomba umwambie acheze kwa step asimkanyage mwenziye ila kama unataka kufundwa kuhusu mashori wa jf basi sema tukuunganishe na Madame B huyo atakupakulia singo matata kuhusu JF sholis kila la heri nahuyo unaye mmiss
He he he haya baba chit chat.....endelea kupendana
Uniwaaaache, haya kuhusuu sawa?
Yananihusu sana tu...afu kumbe Erickb52 alikupa sifa za bure..hujabadilika wala nini
Kijana wewe ndio wale wale!
Naomba tusitibuane humu!
Jamani kwenye hizo copy mi natoka kidogo ila naomba haka kajamaa katimuliwe humu naona kanaanza kupolute!
Copy kwa Bishanga Filipo marejesho Asprin Evelyn Salt watu8 Blaki Womani zumbemkuu Arabela Madame B gfsonwin King'asti Chimbuvu Baba V charminglady Kongosho Mr Rocky Lily Flower Mungi PakaJimmy Kipipi Remmy St. Paka Mweusi kapstrano Slave sweetlady Vin Diesel mwaJ Smile KOKUTONA Dark City beibe nasty C6 Arushaone Mamndenyi nitonye snowhite
Nimesema haya kuhusu mbona wang'ng'ana ? Unataka nini aisee! Ngoja my mama aje. Naona kama vile hauna nia njema na mie