huyo ulomtaja ndiye haswaaaaaa waziri mkuu! Hawa wengine ni hawa mawaziri vivuli, kama mwenyewe prezoooooo! Lol
huyo ulomtaja ndiye haswaaaaaa waziri mkuu! Hawa wengine ni hawa mawaziri vivuli, kama mwenyewe prezoooooo! Lol
Wewe yako ipo sipesheli!shaka ondoa, nasikia huko kutakuwa na shuttle kabisa za kurudisha watu, kazi kwako.
Hahahaaaaa Rich woman kesho tuonane kwa ukaguzi sawa?
Mhm hivi cacico mambo yenyewe ndo haya huyu Asprin ujawahi kumwambia kama mimi shost tu........hamna nyongeza?au nikanunue magruneti niyaweke kwenye mifuko yangu ya kanzi tuone kama Alexander Kalashnikov 47 zitafanya kazi?ila kaka yangu umefikia huko kwani unawasiwasi na mamisapu yani mimi kumjali imeisha kuwa issue??Asprin = AK47!! haya mie simoooooo msiseme sikutoa WARNING!
Ngoja nimkague Rich woman leo mkuu Erickb52, nakupunguzia kazi za kesho! BTW nitakupa ripoti ambazo utawakilisha kwa BABU ODM Asprin
Ngoja nimkague Rich woman leo mkuu Erickb52, nakupunguzia kazi za kesho! BTW nitakupa ripoti ambazo utawakilisha kwa BABU ODM Asprin
AK47 sasa tunapiga rapid au semi auto? ?Mhm hivi cacico mambo yenyewe ndo haya i.huyu Asprin ujawahi kumwambia kama mimi shost tu........hamna nyongeza?au nikanunue magruneti niyaweke kwenye mifuko yangu ya kanzi tuone kama Alexander Kalashnikov 47 zitafanya kazi?ila kaka yangu umefikia huko kwani unawasiwasi na mamisapu yani mimi kumjali imeisha kuwa issue??