Miss you too. Utini wenna?
Ondoa shaka mpenzi sio mie nahisi ni dadaaa sweetlady.
Kijana wewe ndio wale wale!
Naomba tusitibuane humu!
Jamani kwenye hizo copy mi natoka kidogo ila naomba haka kajamaa katimuliwe humu naona kanaanza kupolute!
Copy kwa Bishanga Filipo marejesho Asprin Evelyn Salt watu8 Blaki Womani zumbemkuu Arabela Madame B gfsonwin King'asti Chimbuvu Baba V charminglady Kongosho Mr Rocky Lily Flower Mungi PakaJimmy Kipipi Remmy St. Paka Mweusi kapstrano Slave sweetlady Vin Diesel mwaJ Smile KOKUTONA Dark City beibe nasty C6 Arushaone Mamndenyi nitonye snowhite
Mizigo kama hii huwa naitupilia kuleeTunakuamini kaka, tuna uhakika unammudu, mshughulikie.
Kijana Upo?Hakyamama Lily Flower na Mungi leo mmenijeruhi mbavu zangu! Mamaaaa! hehee sweetlady housegirl? dadaa!
Hakyamama Lily Flower na Mungi leo mmenijeruhi mbavu zangu! Mamaaaa! hehee sweetlady housegirl? dadaa!
Mizigo kama hii huwa naitupilia kulee
wach_francis we ndio hovyoo, kina kuuma nini watu kuwemo humu jf hasa Chit Chat ? Masaa ya kazi yanatofautiana bwana mdogo tena jichunge sana na kauli zako za kipumbavu za kuona tuliomo humu hatuna shughuli za kufanya.
Uniwaaaache, haya kuhusuu sawa?
mkwe nakusalimu! Nani kamisiwa hapa?
Hope siyo mke wangu Lily Flower ................. labda atakuwa anamsemea hausigeli wetu sweetlady