Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
-
- #81
reference zipo chini nyingi tuJamaaa nimecheka sana huyu ni Mwanasimba hua anajifanya anaipenda Yanga kujifanya kuleta Ideas kama za kuonyesha kua anataka kuijenga ana maumivu makali nyuzi zake zote nimeziweka pale hakuna uzi hajaacha kukosoa hata mmoja na anakosoa vitu ambavyo amekua proved wrong😂😂
angalia mpira tena. this time mwangalie abuya tu.Duh! Ni Abuya huyu wa Yanga au wa ndondo cup unayemzungumzia mkuu!
re watch the matches. start with kaizer match to simba match.Umetumwa na mzanzibar mkuu
Utajua wewe mkuu tafta wakore watch the matches. start with kaizer match to simba match.
a worthless player
Mbona kwa hasira hivi mkuu...Hahah!Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.
Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.
Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.
.
Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.
OVER
Your=you’re/you areyour right but his strength out weight his weakness.
Mfano Inonga Vs mayele.Mtu anaandika Kiingilishi anaonwa kaandika.
Yani mtu anatamani jana Yanga ashinde Chuma 4 hajaridhika na ushindi eti....
Halaf hajui kabisa kua Unavyomuona Pacome Leo anacheza Midfielder kocha mda wowote anaweza mbadili akasema leo kazi yako ni hiii na ukamuona siku hio hachezi vile unavyojua wewe kumbe kapewa maelekezo.
HERERRA aliwahi sifika kua ni mkabaji sana kupitia kumkaba HAZARD siku hio aliambiwa wewe usideal na mtu mwingine Deal na Hazard tu akienda kunywa maji kaa nyuma yake wengine achana nao...hapo utasemaje?
Tuelewe tu kua kila Match kocha anaingia na Falsafa tofauti unaweza Muona mchezaji unayemjua anachezaga hivi ila lwo hachezi vile ukaanza kulaumu kumbe ni maelekezo.
Mda Mwingine tujue Mifumo ya Mpira kua ina badilika game to game.
Ni ku trust vipi wakati nimeshawaona uwanjani? Niku trust wewe au ni trust nachoona uwanjani kuhusu uwezo wao? Sureboy na Farid ni wachezaji wa game ndogo ndogotrust me they are better
Kiswahili chenyewe hajui kabisa..!Halafu Kiingereza chenyewe ni ugoko mtupu. Sijui watu wakiandika kwa Kiswahili wanafikiria watapigwa viboko?🙂
Abuya ni bonge la mchezaji na majukumu yake aliyatimiza vile ilivyotakiwaDuke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮
Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.
Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.
Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.
I hope gamondi works on this.
huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
wewe ukocha ulisomea wapi?au umebanwa kuhara?Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮
Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.
Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.
Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.
I hope gamondi works on this.
huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
Nadhani una hoja nzuri za kumjibu mleta mada, ila zinajificha kwa kuwa unazichanganya na personal attacks dhidi ya mleta uziMtu anaandika Kiingilishi anaonwa kaandika.
Yani mtu anatamani jana Yanga ashinde Chuma 4 hajaridhika na ushindi eti....
Halaf hajui kabisa kua Unavyomuona Pacome Leo anacheza Midfielder kocha mda wowote anaweza mbadili akasema leo kazi yako ni hiii na ukamuona siku hio hachezi vile unavyojua wewe kumbe kapewa maelekezo.
HERERRA aliwahi sifika kua ni mkabaji sana kupitia kumkaba HAZARD siku hio aliambiwa wewe usideal na mtu mwingine Deal na Hazard tu akienda kunywa maji kaa nyuma yake wengine achana nao...hapo utasemaje?
Tuelewe tu kua kila Match kocha anaingia na Falsafa tofauti unaweza Muona mchezaji unayemjua anachezaga hivi ila lwo hachezi vile ukaanza kulaumu kumbe ni maelekezo.
Mda Mwingine tujue Mifumo ya Mpira kua ina badilika game to game.
Wao Simba waendelee kutumia Maria Debooo Deboraaaaa.... Watuache na Abuya ...si kila timu imesajili Kwa mahitaji yake.... Tusipangiane ...Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.
Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.
Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.
.
Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.
OVER
Nyie mmetema wangapiii....abaki milele yeye ni Mwanachama !?? Ficha ujinga wako mara Moja Moja....Acha siasa he is a bad player. match ya kaizer he lost the most possession. he is back pass minded.
he makes aziz ki a terrible player. in short pale yanga swala la muda tu watamtema
Manula hayupo, chama hayupo, inonga hayupo... Wamekosa pa kujifichia wanaanza kumuangushia jumba BOVU KIUNGO-PUNDA. Daaah ..Abuya alimfanya aucho a relax. Kolo tunajua mnaumia sana
Wewe jamaa nyuzi zako nyingi ni za kuivuruga Yanga, msimu uliopita ukakomaa na Gamondi afukuzwe mwisho wa siku ukaambulia patupu.Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.