Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

#1 yenye lane moja hiyo huwezi kumpita mwenzio (no overtaking)

#2 unaweza kuwapita wenye punda au farasi au waendesha baiskeli ili mradi ni wenye speed isiyozidi 10 mile per hour

#3 Unaweza ku overtake kama unaona hakuna hatari yoyote
Marufuku kusimama hapo tafuta sehemu salama zaidi

#4 Hapo inakutahadharisha kuwa njia inaachana na kwenda kuingia njia nyingine ni Carriageway

#5 Ukiona Alama hizi ujue kuna Private drive karibu au shamba au nyumba za watu zipo hapo kwa hiyo uwe na tahadhari usije ukakutana na [emoji609]

#6 Single Yellow lane
Hapo ni njia mbili, gari zinapishana ila unaweza ku overtake kama ni safe

#7 Double Yellow lane
Hapo marufuku ku overtake kabisa

Kama nimefeli nipe marks zangu nilizopata nisepe [emoji1]
 
Nami nichangie kidogo, no 1&2 huruhusiwi ku overtake, to make a U turn, drive on the line, na no 2 inakazia hayo niliyoyasema,kwenye double barrier ni eneo hatarishi zaidi mfano kitonga pass, no 3 driver anayeface bahari huruhusiwi to overtake, to do U turn na kuendesha kuvuka msitari huo,ILA anayeendesha kutoka upande wa bahari ana uwezo wa ku ovatake,4&5 unaweza ku overtake kwa pande zote mbili, do U turn if it's safe to do so, 6&7 ni kama 1&2 yellow color imetumika kurahisisha visibility hasa kwenye bad weather
 
Asante kujazia nyama, na kweli TATURA waje kufafanua hiyo yellow
 
Duu hizi mambo sema nilibadilisha career sema ningezitapika Kama nahara. Hii Ni part ya transportation engineering. Kuna part moja imo ndani inaitwa traffic Engineering. Ndipo unapomkuta traffic Engineer anatunga Sheria za road anaweka alama ili kumaneji traffic movement baadaye ndipo Kuna traffic police ili asimamie hizo laws or rules za traffic rules management. Yaani Ile spidi unapiga hesabu mpaka unajua kuwa kutokana na hii road environment inatakiwa iwe ngapi. Sasa wewe zidisha ndipo utajua why aliyeumba road akaweka rules uzifuate Ila ukajifanya mjanja ndio ujue kama wewe unajua zaidi ama la.
Kama ambavyo Mungu akaumba mwili wako akakupa utaratibu wa kuishi Mana wewe una utambuzi semaa bado unajifanya mjanja Leo hii binadamu unazaa kwa opereshenj na huku mnyama hujawahi muona anazaa kwa operasheni ama dume akampandia dume mwenzake kisa tu oestrogen zimekuwa nyingi kuzidi testerone. Binadamu sie tuna akili mno kuzidi wanyamaa ama wanyama Wana akili kutuzidi.
 
👏👏👏
 

Aliyeupande wa mstari mzito haruhusiwi ku overtake. Aliye upande wa dotted line anaruhusiwa kuovertake ikiwa ni salama
 

Pande zote mnaruhusiwa kuovertake ikiwa ni salama. Lazima uone aghalau mita 100 mbele ili uovertake kwa usalama
 
Hii siyo Tanzania. Kwa Tanzania, mistari ya njano ipo kushoto-pembezoni mwa barabara kuonyesha mwisho wa barabara.

Kwa Tanzania, mistari mweupe huchorwa katikati ya barabara

Tanzania haiko hivyo ila matumizi ni sawa.Hapo Ke njano ni kati na nyeupe ni pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…