Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

H Hakika
 
Kwa taarifa yako tu......

Hatukuchagua lowasa bali tulichagua chadema. CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watz wkt ccm ipo kwenye mioyo ya polisi, msajili na tume ya uchaguzi na sasa takukuru .....
CHADEMA ilikua juu sn kabla ya Lowasa.....

Ndio maana kila mahali watz wanajiapiza kua hata mkiweka jiwe sisi tutachagua upinzani tu maana wamechoka na mfumo sio watu........

Ndio maana ccm na serikali hawataki uchaguzi ufanyike yaani wanavuruga....
Hawataki tume huru
Hawataki katiba ya wananchi ile ya warioba wao wanaleta mabadiliko ya katiba ili wavunje katiba wasishitakiwe......wanajiandaa kufanya Mambo machafu zaidi ya tuliyoyashuhudia ya kupigwa risasi kina Lissu
 
Lowassa alikuwa agent wa CCM aliyetumwa upinzani ila Tundu Lissu ni Mpinzani aliye upinzani. Amini nakwambia TUNDU LISSU ndiye raisi October 2020
 
Mmoja bila kubebwa hawezi binafsi
 
Lowassa alipata zaidi ya kura mil 10 , dhidi ya kura mil 3 unusu , kuwa makini sana unapoandika humu bwana mdogo
 
Tafadhar usimfananisheLowasa na Lissu, hawa watu ni kama mbingu na ardhi, hivi unapata wapi ujasiri wa kumfananisha mtu aliyetetea watu maelfu walokuwa wamefungwa ama kufunguliwa kesi za ki impunity hadi wakawa Huru?

Serikali dhàlim ikamfungulia kesi kibao akashinda 7bu ya kipaji chake wàkaona haitoshi wakamtwanga risas wakakataa kumtibia wakaona bàdo wakamfuta ubunge.

Sasa wamebaki kumtishia asirudi! Sasa Lowasa kafanya lipi la kumfananisha na Lissu? Mtu asiyejua hata kugusana na polisi? Hebu sometyme Lumumba mtumie akili nyie siyo roboti
 
Jambo zuri sana, Swali jee hilo linakubalika na wenye chama, na tusisahau hao wanaopanga foleni, ni wagita, wakurya, ama wazanaki, hakuna wachaga huko, maombi yao hayana nguvu ndani ya chama.

Lakini Lissu anastahili kupewa fursa ya kugombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…