Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Tafadhar usimfananisheLowasa na Lissu, hawa watu ni kama mbingu na ardhi, hivi unapata wapi ujasiri wa kumfananisha mtu aliyetetea watu maelfu walokuwa wamefungwa ama kufunguliwa kesi za ki impunity hadi wakawa Huru?
Serikali dhàlim ikamfungulia kesi kibao akashinda 7bu ya kipaji chake wàkaona haitoshi wakamtwanga risas wakakataa kumtibia wakaona bàdo wakamfuta ubunge.
Sasa wamebaki kumtishia asirudi! Sasa Lowasa kafanya lipi la kumfananisha na Lissu? Mtu asiyejua hata kugusana na polisi? Hebu sometyme Lumumba mtumie akili nyie siyo roboti
Kweli hawafanani....
1.Lowassa-mwanasiasa nguli
2.Lissu-mwanaharakati mkosoaji
Kweli hawafanani.
1.Lowassa-si mgonjwa wa akili na hatumii DAWA za uchizi,yaani anakwenda bila kujiboost kichwani.
Imeisha hiyoooo