Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?


Kweli hawafanani....

1.Lowassa-mwanasiasa nguli
2.Lissu-mwanaharakati mkosoaji

Kweli hawafanani.

1.Lowassa-si mgonjwa wa akili na hatumii DAWA za uchizi,yaani anakwenda bila kujiboost kichwani.

Imeisha hiyoooo
 
Jambo zuri sana, Swali jee hilo linakubalika na wenye chama, na tusisahau hao wanaopanga foleni, ni wagita, wakurya, ama wazanaki, hakuna wachaga huko, maombi yao hayana nguvu ndani ya chama.

Lakini Lissu anastahili kupewa fursa ya kugombea.
Niko tayari kukuletea udhamini wa Lissu utakaofanyika Mkoa wa Kilimanjaro Live , endelea kubaki JF ili uthibitishe ukabila wako
 
Embu jiulize hapo watu hawana uhakika anarudi au harudi na wamekusanyika kwa wingi hivo, na vitisho vyote vya vyombo vya dola. Sasa siku akitua airport hali itakuwaje???
Aje agawane kura na mwenzie Membe wa act.kura za CCM zipo vilevile.
 
Chadema ni chama bora kabisa shida inajitokeza kwenye suala la Mbowelism na Mteilism. Hawa ndo wanakiangusha chama .
 
Polisisiem hawajafika kuzuia mikusanyiko?
 
Watu kumi ndio haijapata kutokea .wanamdhamini mtu asiyekuwepo wala hata rudi
M mm hesabu ngumu jamani. Kijana wangu hesabu zilimkimbiza shule, tena ni zile za kujua MAKUMI, MAMIA NA MAELFU.

Kumbe tatizo hili halikuwa la mwanangu tu hata USSR linakupiga chenga. Jamani turudini shule!
 
Kelele nyiiingi!!! Mwisho wa siku mtakuja tena kusema (ngoja 2025 Lisu ataingia Ikulu) 😂😂
Tumewazoea sasa
 
Watu kumi ndio haijapata kutokea .wanamdhamini mtu asiyekuwepo wala hata rudi
Yeah ndio ushangae sasa,bila uwepo wake hao "kumi" wamejitokeza.Na hawatarajii chochote.Kule kijani sometimes watu wanaenda ili "mambo yao yaende vizuri",haitoki ku moyo.
Tundu Lissu kafanya mengi Tarime juu ya issue za migodi waaybackkkk...kabla hajawa maarufu kivile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…