Mita mpya za maji ni kama king’amuzi, maji yakiisha inaji-lock

Hili la Kuhama na Unit zako, hata Tanesco wanalo ila wameliweka kinyuma ya Pazia sana.
 
Hii ni nzuri sana itapunguza matatizo ya bill fake kwa kiasi kikubwa. Pia itasaidia kupanga bajeti vizuri ya maji kwa familia.
 
Itakuwa bora sana bili za magumashi itakuwa ndio mwisho wake
 
Itapunguza gharama za uendeshaji.Ajira kwa wasoma mita nayo inaishia hapo
 
Hii unapanga nyumba iliyo na kina dada, hawavumilii kukosa maji, kuliko wanaume ambao anaweza kutoboa mwezi hana tone la maji ndani.
 
inasha
Hili ndilo litakuwa mwarobaini wa tatizo la kubambikiana Bills! Unatumia maji ya 3000 unapewa bill ya 12000.
inashangaza sana wanabambikiza bills kubwa wakati bills zenyewe zinalipwa kwa control number manake wao hawanufaiki na chchte labda kama maboss wamewatuma kuwaibia wananchi lakini bills za maji now days ni kichomi tu
 
Hii itakuwa poa sana, yaani sana tu. Mimi binafsi nimeibiwa sana kwa kubambikizwa bill kubwa za maji na hawa wasoma mita. Pia hizi mita za zamani mafundi wa Idara ya maji wamekuwa wakizichezea na kuzilegeza kabla ya kuja kukufungia nyumbani kwako ili tu zisome units nyingi.
Kwa hizi mita mpya sasa hivi huo uhuni hautafanyika tena. Haya ndiyo maendeleo tunayoyataka.
Imebakia Gesi, tunataka Serikali isambaze mabomba ya Gesi nchi nzima na kila nyumba iwe na Gesi ya kupikia kama Ulaya. Hilo linawezekana sababu Gesi tayari tunayo.
 
Utopolo babako. Umeniharibia sana siku yangu mapema sana kuniita utopolo.
Narudia tena wewe ni utopolo
Kunywa sumu ufe

Huwez ukapost ujinga wako halafu nikuangalie tuu

Lazima nikukemee uache hiyo tabia mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…