Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Goba yote imekaa ki blah blah...

Gorofa moja au mbili,halafu sanaa kibaooo...then tena moja au mbili then sanaa kibao

Njia zimepinda pinda kama duara,tofauti kabisa na Mbweni au Kunduchi

Goba pamechoka mzeee
Hata Mbweni kuna nyumba za kiswazi kibao, na barabara tope.
Dar imechanganyikana sana, tofauti na miji mikubwa mingi. Yaani utakuta washua wamejenga uswazi.
Siyo ajabu kuona maghorofa ya maana yamejengwa uswazi kabisa. Hata manzese ina maghorofa mengi tu ya maana.
 
Maghorofa ya manzese ni vijihotel vile sio nyumba za watu

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Nahitaji eneo Burka hapa Arusha. Nataka niwahi mapema kabla hapajajaa kama Njiro maana naona Nyumba zinashushwa kama vichuguu

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 


kupima ni kuuweka ukubwa wa eneo katika mfumo wa namba na herufi.
Kupanga ni kitu kingine. So unpozungumzia ushuani, fikiria sehemu iliyopangwa, siyo kupimwa tu.

Hiyo ni aerial view ya sehemu ya mbweni, Dar. Its basically a squatter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…