Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Hivi Malkia wa Nyuki yuko wapi? Aue achukue timu tuachane na Mo chupli chupli!
 
simba acheni umbumbu huko kwa kuchangia timu tumeshahama zamani sasa ni mwendo wa hisa tu, tulipouliza 20b ziko wapi mkawa mnasema kikubwa ni furaha anayotupa chama.
 
#HK ALIKUWA ANAILILIA SANA HII TIMU NI WAKATI SASA APEWE NA YEYE ASOGEZE PAHALA TIMU HII, ALILIALIA MNO WAKATI FULANI.
 
Simba wanamkata na Mbet wa 26B, hizi ni pesa nyingi kuendesha timu!! Hofu je ni kweli hizo pesa zipo au ndio ilikuwa janjajanja yakuonesha Simba imepanda thamani au lah!!. Wacha iendeleee kunyesha....
Hamna hizo 26bn ni ujanja tu
 
Ni muda wa huyo Kigwangala kuwekeza hapo Msimbazi kama ana ubavu. Kelele nyingi,vitendo zero!
 
Tulisema kuwa "ubingwa wa Simba au Yanga ni vita ya pesa kati ya MO na GSM, tuone nani atakalishwa chini".
Tayari MO chaliiii mapemaaaa, 😜😜anataka kukimbia ulingooo!!
GSM bingwaaaa πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ tayariiiiiii!!
Upo sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…