Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Hivi Malkia wa Nyuki yuko wapi? Aue achukue timu tuachane na Mo chupli chupli!
 
Huwa najiuliza. Hakuna wana Simba elfu kumi Tanzania kila mmoja kuchangia TZS 100,000 kwa mwaka ikapatikana bilioni moja?

Labda hiyo haitoshi.

Je, hakuna wapenda Simba laki moja tuka changia kila mmoja laki moja kwa mwaka ikapatikana bilioni 10.

Au hatupo wapenda Simba milioni 1 tukachangia kwa michango au kuwekeza TZS 100,000 katika hisa ikapatikana 1,000,000*100,000 yaani TZS 100,000,000,000?

Na kama ni ngumu sababu za tabia zetu kushindwa usimamizi na janjajanja nyingi, mbona tunataka wengine ndio wawekeze na kuhoji kwingi ilhali hata 500 hatutoi?

Hizi klabu zetu zitakuwa na mafanikio ya misimu tu.

Klabu pekee ikiamua kufanya kweli na ikafanikiwa ni Azam FC peke yake. Hao wengine ni kama mihemko ya uchaguzi tu.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
simba acheni umbumbu huko kwa kuchangia timu tumeshahama zamani sasa ni mwendo wa hisa tu, tulipouliza 20b ziko wapi mkawa mnasema kikubwa ni furaha anayotupa chama.
 
Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!

Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?

Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.

Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.

Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.

Simba Nguvu moja.
#HK ALIKUWA ANAILILIA SANA HII TIMU NI WAKATI SASA APEWE NA YEYE ASOGEZE PAHALA TIMU HII, ALILIALIA MNO WAKATI FULANI.
 
Simba wanamkata na Mbet wa 26B, hizi ni pesa nyingi kuendesha timu!! Hofu je ni kweli hizo pesa zipo au ndio ilikuwa janjajanja yakuonesha Simba imepanda thamani au lah!!. Wacha iendeleee kunyesha....
Hamna hizo 26bn ni ujanja tu
 
Kigwangala alipokuwa anahoji mlimkashifu na kumuona lopolopo fulani!!, Tuliwaambia hapa hakuna tajiri akawa na mapenzi na timu nje ya kutaka kunufaika mwenyewe. Mkawa mnasema Mohamedi ni Simba damu anajitolea 😅😅, haya Sasa nendeni mkapmpigie magoti kigwangala!!.

Ni muda wa huyo Kigwangala kuwekeza hapo Msimbazi kama ana ubavu. Kelele nyingi,vitendo zero!
 
Tulisema kuwa "ubingwa wa Simba au Yanga ni vita ya pesa kati ya MO na GSM, tuone nani atakalishwa chini".
Tayari MO chaliiii mapemaaaa, 😜😜anataka kukimbia ulingooo!!
GSM bingwaaaa 💪💪💪 tayariiiiiii!!
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom