Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo gani hayo ya msingi kwani Simba na Yanga ni chakula au maji kwamba tukizikosa tutakufa.Acheni utani kwa mambo ya msingi.Wenzako tumechanganyikiwa
HahaaaahaaaWazee wanasema Simba na Yanga hazijawahi kuwa imara kwa wakati mmoja
simba acheni umbumbu huko kwa kuchangia timu tumeshahama zamani sasa ni mwendo wa hisa tu, tulipouliza 20b ziko wapi mkawa mnasema kikubwa ni furaha anayotupa chama.Huwa najiuliza. Hakuna wana Simba elfu kumi Tanzania kila mmoja kuchangia TZS 100,000 kwa mwaka ikapatikana bilioni moja?
Labda hiyo haitoshi.
Je, hakuna wapenda Simba laki moja tuka changia kila mmoja laki moja kwa mwaka ikapatikana bilioni 10.
Au hatupo wapenda Simba milioni 1 tukachangia kwa michango au kuwekeza TZS 100,000 katika hisa ikapatikana 1,000,000*100,000 yaani TZS 100,000,000,000?
Na kama ni ngumu sababu za tabia zetu kushindwa usimamizi na janjajanja nyingi, mbona tunataka wengine ndio wawekeze na kuhoji kwingi ilhali hata 500 hatutoi?
Hizi klabu zetu zitakuwa na mafanikio ya misimu tu.
Klabu pekee ikiamua kufanya kweli na ikafanikiwa ni Azam FC peke yake. Hao wengine ni kama mihemko ya uchaguzi tu.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Una maana gani
Halafu nasikia hata lile basi jipya, linaendelea kushikiliwa!!Kipindi watu wanaulizia hizo b20 siko wapi mkaona kama watu wana wivu tu na timu yenu...
Acha uongo weweTusichekane ni bora kutushauri kipi tufanye. Kumbukuka uimara wa Simba ni uimara wa Yanga.
Huyo Barbara ni zaidi ya CEO,yule ni Chawa na Mwandani wa Mwamedi.Barbara ni CEO wa ngapi kuondoka Simba? Waliondoka wengi na mkaja na ngonjera zenu
#HK ALIKUWA ANAILILIA SANA HII TIMU NI WAKATI SASA APEWE NA YEYE ASOGEZE PAHALA TIMU HII, ALILIALIA MNO WAKATI FULANI.Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!
Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?
Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.
Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.
Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.
Simba Nguvu moja.
Hamna hizo 26bn ni ujanja tuSimba wanamkata na Mbet wa 26B, hizi ni pesa nyingi kuendesha timu!! Hofu je ni kweli hizo pesa zipo au ndio ilikuwa janjajanja yakuonesha Simba imepanda thamani au lah!!. Wacha iendeleee kunyesha....
Hawana hamu na mwamediHuwajui wahindi wewe.Waulize Singida walivyoachwa Solemba
Kigwangala alipokuwa anahoji mlimkashifu na kumuona lopolopo fulani!!, Tuliwaambia hapa hakuna tajiri akawa na mapenzi na timu nje ya kutaka kunufaika mwenyewe. Mkawa mnasema Mohamedi ni Simba damu anajitolea 😅😅, haya Sasa nendeni mkapmpigie magoti kigwangala!!.
Kigwangala alipokuwa anahoji mlimkashifu na kumuona lopolopo fulani!!, Tuliwaambia hapa hakuna tajiri akawa na mapenzi na timu nje ya kutaka kunufaika mwenyewe. Mkawa mnasema Mohamedi ni Simba damu anajitolea 😅😅, haya Sasa nendeni mkapmpigie magoti kigwangala!!.
Ni muda wa huyo Kigwangala kuwekeza hapo Msimbazi kama ana ubavu. Kelele nyingi,vitendo zero!Kigwangala alipokuwa anahoji mlimkashifu na kumuona lopolopo fulani!!, Tuliwaambia hapa hakuna tajiri akawa na mapenzi na timu nje ya kutaka kunufaika mwenyewe. Mkawa mnasema Mohamedi ni Simba damu anajitolea 😅😅, haya Sasa nendeni mkapmpigie magoti kigwangala!!.