Mitaa yetu mingi haina nafasi za wazi kwaajilli ya kupumzika. Huwa unaenda wapi kupunga upepo?

Nina eneo kubwa bro! Zaidi 1200sqm na mita 20 kutoka nyumba yangu nina pub! Naongelea kwa waliowengi na changamoto nilizopitia nyuma kulazimika kujijengea kapub ka kukutana na watu!
Kama una eneo kubwa basi haujalitumia kikamili kwa matumizi kama hayo. Waite watu wakupe plan.

Huko utaenda mara chache kumbuka familia yako inakuhitaji zaidi, sasa tena wewe unapata nafasi unaikimbia?

Au eneo umelimaliza kwa kujenga nyumba za wapangaji?
 
Mi naendaga chini ya Daraja la Kigamboni - sema sometime kuna migambo wakuda huwa wananitimua, na wakinitimua basi napanda zangu gari naenda posta viunga vya Karimjee - sema nako sometime kuna ndege wakuda, wanakunya hao ukikaa vibaya umenyewa, ndio maana natoka hapo naanza kutembeaa na kuzurula kwa miguu, Macho juu nikihesabu floor za maghorofa.
 
Hii kitu nilikua naongea na mtu Jana, Yani hata mazoezi vitu ambavyo ni vya muhimu serikali ilishashindwa kutenga maeneo, ukitaka kufanya jogging labda ufanyie barabarani bodaboda wakupapue
Bodaboda wakupapue[emoji23][emoji23]

Ngoja kwanza serikali ipo bize
 
Hiyo sio solution
Hiyo sio solution
Sometimes kunaboa ....watu wanaviwanja vikubwa kama Mkapa ila bado wanatamani kwenda porini kutuliza akili...Dolly ESTATE..Burka A Town viwanja vikubwa garden nzuri utulivu wa kutosha ila una vunja zizi unakwenda Makuyuni au Kisongo kutuliza akili

Open space ni muhimu sana ....Nairobi Uhuru park utulivuuu wa nguvu ....huku Wajinga na Wabinafsi yamekomba ardhi yote....Dar zamani raha sana Kurasini ilikuwa paradise
 
Akikufata na huko ondoka rudi kijijini kwenu 🤣
 
Wee hujaelewa mada! Soma vizuri utajua nilichomaanisha!
 
Mimi sikatai kwenda central park au porini

Lakini je, utaenda kila siku?
 
Nyumbani kwangu kunakitu na mandhari nzuri.
 
Point mkuu hasa mkoa wa Dar uko ovyo sana.

Mm naishi mwananyamala kwa kopa yaani useme utoke home ukapunge japo upepo utaishia Bar au pale kiwanjani makaburini ovyo kabisa.

Mambo ya sehemu za kupumzikia utawapenda wazazibar Huwa hawana stress kabisa na hivi vitu maana Kuna sehemu nyingi sana iwe za private ama public unaenda unatulia zako fresh tu na hulipii hata senti ila kwa bongo serikali wakiona eneo liko wazi utafikir paka kaona samaki lazima amnyakue tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…