Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake .
Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara.
Unapozungumzia Anasa means is endless shit .
So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote
He or she will keep chasing the endless shit to his lifetime.
Ndo maana ukienda Marekani mitaa Kama Brooklyn wanakotoka blacks hutakuta kuna huo upumbavu upo designed makusudi kuua focus ,ya MTU mweusi.
The same ukija Tanzania mitaa ya uswahilini also this shit is happens
Kwahiyo ikiwa upo na uwezo jaribu kutafuta mazingira bora ya kuanzishia familia yako.