ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo yy angeleta mvua??Mtamkumbuka
Mpuuzi mkubwa ewe kipofu!Kwahiyo yy angeleta mvua??
Mpuuzi mkubwa ewe kipofu!Kwahiyo yy angeleta mvua??
Mvua yenyewe ilikuwa inamuogopa. Inayesha hata Mwaka mzima mfululizo. Amekufa tu majanga yote yamerudi Tanzania. Kwani tutakosea wapi? Yeye alipatia wapi?Kwahiyo yy angeleta mvua??
Hata shahidi analete maganda ya risasi alizozitumia yeye mahakamani kama ushahidi wa matumuzi ya siraha hiyoingawa sijawahi kumkubali mwendazake kwa mambo mengi sana ila kuna vitu vilikua under control kabisa, mambo ya umeme na maji tulishasahau kukatika kwakwe mvua zilikua nyingi mno haipiti wiki 2 au mwezi inapiga tena DSM hapa hapa. Ila tangu kasepa mmmh sijui what went wrong kwa kweli.
Maji shida, mvua shida, umeme shida vitu, vimepanda bei mabando vyakula yani tafrani shida nini?.
Mkuu mara nyingi si kila jambo linalotokea duniani utaelewa maana yake, mambo mengi Allah ameficha na ukitaka kujua labda kwa normal human brain unaweza kuangalia "Asili" hiyo ndiyo imebeba maisha yetu.Kwahiyo yy angeleta mvua??