Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

Kuna watu fulani hivi wakishika usukani hata wa shule au kijiji tu majanga, ukame, njaa, wizi, n.k. hutamalaki.
Ila bwana yule alikuwa na neema ya mvua, chakula, umeme kuwa wa uhakika, vichwa vya treni kuotwa bandarini, maiti kuokotwa ufukweni n.k.
 
ingawa sijawahi kumkubali mwendazake kwa mambo mengi sana ila kuna vitu vilikua under control kabisa, mambo ya umeme na maji tulishasahau kukatika kwakwe mvua zilikua nyingi mno haipiti wiki 2 au mwezi inapiga tena DSM hapa hapa. Ila tangu kasepa mmmh sijui what went wrong kwa kweli.
Maji shida, mvua shida, umeme shida vitu, vimepanda bei mabando vyakula yani tafrani shida nini?.
 
Hata shahidi analete maganda ya risasi alizozitumia yeye mahakamani kama ushahidi wa matumuzi ya siraha hiyo
 
Sisiyemu ni adui wa maendeleo kwa taifa muda huo huo wanajitapa hii ni nchi tajiri, waziri mkuu anasema umeme upo mwingi kumbe kuna upungufu.

Unatoa pesa zaidi ya trilion 1.7 kununua ndege unashindwa kuwekeza ata kwenye umeme wa jua, umeme wa upepo ili tuwe na alternatieve
 
Kwahiyo yy angeleta mvua??
Mkuu mara nyingi si kila jambo linalotokea duniani utaelewa maana yake, mambo mengi Allah ameficha na ukitaka kujua labda kwa normal human brain unaweza kuangalia "Asili" hiyo ndiyo imebeba maisha yetu.

Haya issue ya "yeye angeleta mvua" haina maana kihivyo ila asili ilionyesha wazi kupitia 5yrs of his leadership.
 
Back
Top Bottom