Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Asante hayati rais Magufuli kwa kuileta mbuga ya Nyerere
 
Hili sio tangazo la biashara yako Mkuu? Huo mti bado upo hadi leo?
 
Pwani kuna mijamaa kazi yao ni kukata mibuyuuu na wanaumalizaa kabsaaa ..... siri zao hazisemwagi hadharani

anyway labda mti utasogea wenyewe pembeni ukinenewa kwa lugha
 
Sasa wale wazee wa kubisha uchawi hamna, huu ndio wakati wenu wakuisadia serikali kuuondoa huo mti nenda na panga au shoka lako.
 
Weka baruti yenye uwezo wa kulipua tani moja hapo kwenye mti utapatikana mkaa wa kupikia supu ya mbwa.
 
Waje wanichukue mimi nikaukate bure tena kwa kutumia panga tu. Hawahitaji kunilipa, wanipe usafiri tu
 
Mzilankende Angeung'oa Huo Kama Alivyowapa Wazee Pombe Sumbawanga Wakati Anajenga Madaraja
 
Kagogo kadogo eti serikali imeshindwa kukata
 
Chainsaw kabisa imevutwa mafuta ishindwe kudondosha hako kamti?
Bulldoze (kijiko?) Lishindwe kungoa hako kajiti?
Nitakuwa wa mwisho kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…