Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Hawajataka
 
Imani za kijinga sana hizi, hiyo story imepikwa kwa ajili tu ya kuwavutia watu kwenda kutalii.
 
Mkuu acha basi ule mbuyu pale St .Gasper nao una mambo?
 
Sehemu gani pale

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni mbinu ya ki propoganda ili uma ujue kuna barabara iko kwenye ujenzi huki
 
Hata Namanga Mbuyuni ule mbuyu uko katikati ya barabara walishindwa kuutoa

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
This cant be! Hiyo mitambo ni mitambo inashindwa kuundoa mti?
 
Ukitoka Pasiansi-Mwanza kama unaenda Airport mitaa ya (Iloganzala) kuna mti ulikuwa unakatwa kwa upanuzi wa barabara, mti ulikuwa unalia na kutoa damu,

Duniani kuna mambo ....

Tukuyu-Mbeya, bibi alikuwa anatuambia kuna miti huwa inasafiri usiku, basi kulikuwa na uwanja mkubwa alafu kulikuwa na mti mkubwa unaambiwa nyakati zingine usiku ulikuwa ukienda uwanjani hapo unakuta mti umesafiri (haupo eneo lile),ukienda tena asubuhi unaukuta

Duniani kuna mambo ....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unkuju(utukuju)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…