Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

Wanachojua ni kuja kugonga hodi kutaka kodi, kukoroga maisha ya watu na kuvuruga uchumi. Imagine kuchezea mtandao sababu unaamini unaweza. Hawa watu baada ya mabadiliko,watandikwe viboko hadharani.
 
Professor Lumumba wa Kenya alishasema tena kwa kujiamini "In Africa we elect fools to the office ".
 
Yaani unazima mtandao kisa slow slow?? Kazi kwelikweli
 
Youtube na fb hakuna shida shida ni hao mamlaka ya mawasiliano ndo wanafanya maswala yo kuzuia mambo ya polepole
 
Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.

Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.

Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi kuanzia saa 2 usiku.

ILI TUPONYE HII NCHI INABIDI TUFE WOTE KWANZA KU RESTORE AKILI. 🚮🚮🚮🤣🤣
Kuna kitu kimeagizwa na Bashungwa kwenda kwa IGP kinaitwa "Doria mtandaoni" yaani "Social media security intelligence patrol". Anayefanya doria akibaini kitu kisicho cha kawaida ambacho mfanya doria hakimfurahishi pamoja na bosi wake wanakukatisha uwepo wako.
 
Back
Top Bottom