Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Polepole on duty
Wanaogopa nondo za slow slow
Kuachana nayo heri waniueWala ni roho mbaya tu ila facebook tunayo na tunatamba nayo
Mwanamke hafai kuwa Kiongozi wala kupata nafasi za juu maana wamejaa viburi na hawana karama kabisa....ushenzi wa hii nchi umebaki kwa raia tusio na nguvu wala akili.VPN tu as usually hamna namna,washa VPN fanya yako.
Wakishakuwa pale juu wamejaa wajinga wajinga tena akinamama wanaokojoa wamechuchumaa lazima ujue kitakachoendelea zaidi ya mambo ya ajabu ajabu kama haya.
Huna akili we jombaKm
Umeishiwa bando usizushe maupuzi yako humu.
Pole.pole.alikua anawachamba maccm wenzie hivyo yule.mzima.mitandao hakuondoka ofisin.Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi kuanzia saa 2 usiku.
ILI TUPONYE HII NCHI INABIDI TUFE WOTE KWANZA KU RESTORE AKILI. 🚮🚮🚮🤣🤣
Maza ni dhaifu sana!Wanaogopa nondo za slow slow
Baba Ndubwi unaambiwa usiwe unazima YouTubeMmezoea umbea tu bora mmedhibitiwa. Ingekuwa press conference ya mambo ya maana kama kilimo na umwagiliaji, mifugo na uvuvi msingesumbuka hivi. Umbea umbea tu na uchawi. Pigweni pini huko.
Mwulizieni nesi mwenzio Dr wa ManesiKuna nini nyuma ya pazia kuhusu huyu Humphrey Polepole ambacho TCRA inakiogopa?
Kwanini wanafunga mtandao wa YouTube kila anapotaka kuongea? Leo tena tangia saa 1 usiku hadi saa hizi mtandao huu haupatikani na kuwakosesha watanzania habari mbalimbali za duniani kupitia mtandao huu.
Mbona mnampa umaarufu sana huyu Polepole?
Wahuni sio watu wazuri.Kuna nini nyuma ya pazia kuhusu huyu Humphrey Polepole ambacho TCRA inakiogopa?
Kwanini wanafunga mtandao wa YouTube kila anapotaka kuongea? Leo tena tangia saa 1 usiku hadi saa hizi mtandao huu haupatikani na kuwakosesha watanzania habari mbalimbali za duniani kupitia mtandao huu.
Mbona mnampa umaarufu sana huyu Polepole?
Kuna mtu alileta uzi hapa jinsi akili za viongozi zilivo kisoda.Hawana budi