Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,396
- 2,052
Fedha za kununua vocha leo hazitumiki. Internet providers leo hakuna kuingiza chapa hivyo serikali kuuhaitapata chochote. Haya twendeni hivyo hivyo.
Facebook iko vizuri sijui youtube sijaingia.Pia angalia kama una dataKama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi kuanzia saa 2 usiku.
ILI TUPONYE HII NCHI INABIDI TUFE WOTE KWANZA KU RESTORE AKILI. 🚮🚮🚮🤣🤣
siKama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi kuanzia saa 2 usiku.
ILI TUPONYE HII NCHI INABIDI TUFE WOTE KWANZA KU RESTORE AKILI. 🚮🚮🚮🤣🤣
Hakuna cha IT hapo ni wajinga tu, wanachofanya ni kulazimu makampuni ya simu ku block youtube na facebook...Unakuta s100 katoa bilion za kutosha kwa kazi hii tu majizi yanamtingisha tu . toa hela maIT waingie kazini ilikumzuia polepole.
Hivi bado mnatumia mkongo wa TTCL?Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi kuanzia saa 2 usiku.
ILI TUPONYE HII NCHI INABIDI TUFE WOTE KWANZA KU RESTORE AKILI. 🚮🚮🚮🤣🤣
Kazi kweli kweliWaafrica tuna laana sio bure
Polepole anawajambishaKama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi kuanzia saa 2 usiku.
ILI TUPONYE HII NCHI INABIDI TUFE WOTE KWANZA KU RESTORE AKILI. 🚮🚮🚮🤣🤣
Utadhani halijawahi kwenda mwezini mfyuSIJAWAHI KUONA LIJIMAMA LIKATILI NAMNA HII.