Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Wanataka msiambizane na kusambaza taarifa za Tundu Lissu na unajua mzee alisema Airtel ni ya CCM na vodacon wana hisa huko.wakubwa kuna jambo la ajabu sijaelewa ukitumia line ya Vodacom kutuma ujumbe mfupi wa maandishi wenye maneno Tundu Lissu meseji haiendi.
hii maana yake nini?