Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

Ukituma SMS yenye neno Tundu Lissu ndani yake hiyo meseji haiendi.

Strange. So strange . hiyo ndo CCM mpya . waoga haijawahi kutokea. Hilo nimelithibitisha mwenyewe.
 
Leo tangua asubuhi baadhi ya watu walikuwa wanalalamikia kuwa ukituma sms ya kawaida yenye jina la Tundu Lissu haiwezi kutoka kwenye simu yako kwenda kwa uliyemkusudia.

Binafsi nimejaribu kutuma sms ya aina hiyo lakini Cha ajabu ni kuwa kweli haiwezi kutoka.

Nani kafanya haya yote?

Kwanini kafanya hivi?

Kwa faida ya nani?

Na kwa hasara ya nani?

Je, kisheria hii imekaaje?

Ama kweli maendeleo hayana chama kimadharia, japo kiuhalisia yanaangalia uvyama
 
Ukishakuwa msaliti wa Nchi ni laana zinakuandama na magundu

Hadi meseji zake zina magundu
 
Angalieni hii barua yaani jiwe anaogopa uchaguzi wakati yeye amefanya kampeni miaka mitano
IMG_20201024_141136.jpg
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Jaribu kutuma. Sio kukurupuka tu no research no right to speak shubamiit
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
We ndio mjinga unabisha kitu cha kweli
 
Halafu hizi kampuni za mitandao ni za kijinga sana. Unamwekea mteja wako kiwango cha SMS 10 za kutuma kwa wiki bila kujali kuwa sehemu ambazo network ni ya shida tunategemea sana SMS.

Wanataka kila unayewasiliana naye umpigie simu, kwa utajiri gani ambao Watanzania wanao? Ole wao Uchaguzi ukipita waje tena kujipendekeza kwetu!!!
 
Chadema huu utoto unawashushia hadhi kama chama mbadala wa kilichoko madarakani.. Pigeni sarakasi zote ila mkae mkijua watanzania wana akili na wanauona utoto mnaoufanya. Pambaneni, tangazeni sera zenu raia wawaelewe hizi sanaa za kitoto haziwafikishi popote
Screenshot_20201024-163801_2.jpg
 
Chadema huu utoto unawashushia hadhi kama chama mbadala wa kilichoko madarakani.. Pigeni sarakasi zote ila mkae mkijua watanzania wana akili na wanauona utoto mnaoufanya. Pambaneni, tangazeni sera zenu raia wawaelewe hizi sanaa za kitoto haziwafikishi popoteView attachment 1610640

Mjinga mkubwa ww, kelele zimekuwa nyingi ikabidi waondoe hiyo hujuma, ww unaamka kwa shemeji saa hii ndio unaona asubuhi.
 
Mbona waoga hivyo wakati wanajiaminishia ushindi? Yaani kujitapa kote miaka 5 ya kuziba upinzani ndiyo wameishia Huku? Kukataliwa mchana kweupe? Ni fundisho kubwa mno. Kifupi hapo ni kuzuia kupeleka taarifa za uchaguzi. But watu wako clever na zitasambazwa tu.
 
Back
Top Bottom