Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

wakubwa kuna jambo la ajabu sijaelewa ukitumia line ya Vodacom kutuma ujumbe mfupi wa maandishi wenye maneno Tundu Lissu meseji haiendi.

hii maana yake nini?
Wanataka msiambizane na kusambaza taarifa za Tundu Lissu na unajua mzee alisema Airtel ni ya CCM na vodacon wana hisa huko.
 
WAMEZUIA VODACOM KWENDA AIRTEL NA AIRTEL KWENDA VODA KWA ZANZIBAR MITANDAO YOOTE JARIBU UONEEEE TUMIA MESEJI KWA MTU WA AIRTEL KAMA UNATUMIA VODA AU VODA KWENDA AIRTEL
 
Kila walifanyalo uwarudia wao, kwa mwendo huu wanazidi kujipunguzia kura zao huyu jamaa sijui hata vile vyeti alipataje mbona ni low thinking sana
 
Mbinu za kizamani Sana mbinu za kitoto huyu jamaa mbona reasoning yake ipo chini Sana thus elimu yake imeleta shaka ,hizi zilifaa stone age amekamatwa vibaya sana
 
Wana maana yao.. maana hata nami yagoma vivyo Hivyo [emoji848]
 
Mafeni amedhamilia kwenda the Hague maadamu amedhamilia nasi hatuna budi kumwachia chaguo lake, aende salama
 
Anga likikutaa ndumba zinaexpire miti yote imeteleza utaishia kuukimbiza upepo tu
 
Umeongea na MUNGU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…