Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

Magufuli inaenda
IMG_20201024_083332_636.jpeg
 
Ukiweka neno Magufuli tu inaenda kama kawaida, ila ukiweka neno Lissu peke yake haiendi

Kwa hiyo wameziba option zote kwa Lissu ila Magufuli wamemuachia option nyingi za kumanuva

Hakuna mtu anayetuma meseji na kuandika Majina yote ya Magufuli.

Haya makampuni yamefanya hivyo kijanja kujivua Lawama
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.

Don't be naive, uko na simu mkononi, jaribu uone kama hiyo sms itaenda, kisha ndio uje uongee huu upuuzi hapa.
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Sasa mtu kakwanbia jaribu na ww sio unamtukana ndugu. Yeye kashafanya ndo imetokea ivyo.

By the way nabii isaya kwa heshima na taadhima nakuomba tukampigie kura za ndio Tundu Lisu 28/10/2020.

Ni mtu mkweli ambye uongo kwake mwiko sio Kama mwenyekiti wetu wa CCM mwongo afu hanaga kumbukumbu.

August katuambia kamfukuza gambo sababu ya matumizi mabaya ya ofisi nikazidi kumkubali kwa kuleta heshima kazini. lakini Jana kasema hakumfukuza. Kanivunja moyo sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Haya ndio mambo watanzania tulikuwa tunasoma kwenye nchi za madictator huko nje, kwa sasa mambo haya yako rasmi ndani ya nchi yetu! Halafu watu wanasema uchaguzi wetu utakuwa huru hivyo tusiingiliwe na mataifa ya nje. Watawala wanaofaidika na huu mfumo wa kutuburuza, ndio wanasema sisi tuko huru, hivyo tusiingiliwe!
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Sasa wewe na mtoa mada Nani mjinga,,,wee ndo mjinga usibishe tu hio kitu Ni kweli chukua simu yako jaribu
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Sasa we umeamua kubisha tu au. Karibu uone ndo uje ukatae. Mbona simple tu? Mijitu mingine bwana
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Nadhani kwa busara ungejaribu kuandika ndio uje ukoment. Wote tuliposkia haya tumeprove na kuona ni kweli

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Wewe ndiye mpumbavu!
 
Back
Top Bottom