haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, ππ
Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22.
Kuna jamaa anasema akiweza 2 mil mfukoni akienda out harudi na kitu. Eehπππ.
Naomba niondoke kwenye mitandao ya kijamii kwa miezi mitatu nitafakari maisha yangu.
Nitarudi siku tisini kama nikipata jibu.
See you later rich people on social media,