Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22.

Kuna jamaa anasema akiweza 2 mil mfukoni akienda out harudi na kitu. Eeh๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.

Naomba niondoke kwenye mitandao ya kijamii kwa miezi mitatu nitafakari maisha yangu.

Nitarudi siku tisini kama nikipata jibu.

See you later rich people on social media,
Ila daa ukifikiri sana hutoboi ila God ndo mtenda maajabu
 
Mi nlisoma comments kwenye Uzi wa kula niaje kimasihara aiseee nkaona mm bado sana kwenye industry ya kufaidi vinono
 
Hii mitandao kila mtu ana lake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ni kazi yako kuchambua lipi la kuwekeza akilini mwako na lipi la kuacha kama lilivyo๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wanatuchanganya sisi sasa...
Sasa kama hiyo unakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Weeeh hapo unakuwa na hali gani wakati haya mshahara wako 500k haifiki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ye anaamini kila kitu
Anajipa stress za bure

Miaka hii vijana wengi wanapata stress kwa sababu ya post za kwenye mitandao ya kijamii

Ukiona mtu anatumia nguvu nyingi sana kushow off kwenye mitandao ujue kuna mawili bado anajitafuta au ni limbukeni aliyezipata
 
Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22.

Kuna jamaa anasema akiweza 2 mil mfukoni akienda out harudi na kitu. Eeh๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.

Naomba niondoke kwenye mitandao ya kijamii kwa miezi mitatu nitafakari maisha yangu.

Nitarudi siku tisini kama nikipata jibu.

See you later rich people on social media,
Kama kijana utakua umechukua maamuzi yaliokua sahihi kwa mustakabali wa maisha yako ya badae.
Najua kuna watakaokuja kukutia moyo kuwa ni Maisha tu ya mtandaoni wanaigiza tu hakuna uhalisia wowote ila waignore, Huku Mtandaoni/mtaani kuna vijana wanapesa na wanajua kuzitumia bhana asikwambie mtu.
Binafsi ni mtu wa kushindia kwenye sehemu za starehe kupata vilaini kidogo, kama haujiwezi unaweza kufa kwa msongo wa mawazo.

Nitoe rai kwa vijana wengine ambao kutwa wapo tu humu Jukwaani na hawajajipata waanze kujishughulisha kutafuta Pesa. Hii mitandao usipokua makini itakupotezea tu muda mwisho wa siku hakuna dollar itakayosoma kwenye akaunti.

#KamaWeweHunaHelaKunaWengineWanazo
 
Back
Top Bottom