Bado weww ujakutana nao...Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, ππ
Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22.
Kuna jamaa anasema akiweza 2 mil mfukoni akienda out harudi na kitu. Eehπππ.
Naomba niondoke kwenye mitandao ya kijamii kwa miezi mitatu nitafakari maisha yangu.
Nitarudi siku tisini kama nikipata jibu.
See you later rich people on social media,
πππWanaamua tu kutuchanganya sisi wenzangu na mimi...bado hujasikiliza motivational speakers si utajinyonga ww Poor Brain
Eti wanakuambia jitoe risk bet Mil uone......πππWanaamua tu kutuchanganya sisi wenzangu na mimi...
Et mara kilimo, mara ufugaji ujakaa vizuri unaambiwa forex...
An ni kila mtu anavyojiskia hawa motivation speaker
Wana uzi wao kule wa mkeka sijui..Eti wanakuambia jitoe risk bet Mil uone......
Watoto wa mjini wanakwambiaSee you later rich people on social media
ukiskia Poor Brain ndio wao kabisaa nothing is free nothing is easyWana uzi wao kule wa mkeka sijui..
πππππππ
Niliwahi kwenda nikawa nawaambia ukweli... Dah niliambulia matusi ya nguoni mkuu
Watu wanakomalia vitu vya hovyo kweli...ukiskia Poor Brain ndio wao kabisaa nothing is free nothing is easy
Chezea nini ππππππ€£ hayo tu ?yapo mengi ukiyaweka kichwani unaweza tembea barabarani ukizungumza peke yako
Ye anaamini kila kituWatoto wa mjini wanakwambia
Kwenye mitandao usiishi kunyonge, usiache maisha yakuchape mtaani hadi kwenye mitandao ya kijamii
Humu kwenye mitandao kuna watu ni wa kuwaonea huruma badala ya kuwaonea wivu ila wanavyovimba sasa!
Ye anaamini kila kituWatoto wa mjini wanakwambia
Kwenye mitandao usiishi kunyonge, usiache maisha yakuchape mtaani hadi kwenye mitandao ya kijamii
Humu kwenye mitandao kuna watu ni wa kuwaonea huruma badala ya kuwaonea wivu ila wanavyovimba sasa!
Hii mitandao kila mtu ana lakeπ€£π€£Chezea nini ππππ
ni wangapi sasa? ndio maana ikaitwa michezo ya kubahatishaWatu wanakomalia vitu vya hovyo kweli...
Mi sijawahi kuelewa kule wengi...
Ukiona wamekula et 4k ππππ
Ndo nn sasa