Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

Ila daa ukifikiri sana hutoboi ila God ndo mtenda maajabu
 
Mi nlisoma comments kwenye Uzi wa kula niaje kimasihara aiseee nkaona mm bado sana kwenye industry ya kufaidi vinono
 
Hii mitandao kila mtu ana lake🀣🀣
Ni kazi yako kuchambua lipi la kuwekeza akilini mwako na lipi la kuacha kama lilivyo😝
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wanatuchanganya sisi sasa...
Sasa kama hiyo unakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, πŸ™ŒπŸ™Œ
Weeeh hapo unakuwa na hali gani wakati haya mshahara wako 500k haifiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ye anaamini kila kitu
Anajipa stress za bure

Miaka hii vijana wengi wanapata stress kwa sababu ya post za kwenye mitandao ya kijamii

Ukiona mtu anatumia nguvu nyingi sana kushow off kwenye mitandao ujue kuna mawili bado anajitafuta au ni limbukeni aliyezipata
 
Kama kijana utakua umechukua maamuzi yaliokua sahihi kwa mustakabali wa maisha yako ya badae.
Najua kuna watakaokuja kukutia moyo kuwa ni Maisha tu ya mtandaoni wanaigiza tu hakuna uhalisia wowote ila waignore, Huku Mtandaoni/mtaani kuna vijana wanapesa na wanajua kuzitumia bhana asikwambie mtu.
Binafsi ni mtu wa kushindia kwenye sehemu za starehe kupata vilaini kidogo, kama haujiwezi unaweza kufa kwa msongo wa mawazo.

Nitoe rai kwa vijana wengine ambao kutwa wapo tu humu Jukwaani na hawajajipata waanze kujishughulisha kutafuta Pesa. Hii mitandao usipokua makini itakupotezea tu muda mwisho wa siku hakuna dollar itakayosoma kwenye akaunti.

#KamaWeweHunaHelaKunaWengineWanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…