Tetesi: Mitandao ya kijamii kuzimwa siku 5 kabla ya uchaguzi

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically.

Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na hatari kwa usalama wa Taifa kuliko mitandao itakavyokuwa on.

Maandamano yameleta taaruki mafisadi wapo na kijasho cha hatari Sana.

Ingawa Kuna watu wanachukulia pouwa lakini nawaambia hata watu laki 5 wakitoka siku hiyo nchi haitokaa itawalike tena.
 
Wazime wasizime haizui wao kuendelea kuonekana watu wanaotubananga na kutubagaza bagaza..
Hawana dhamira ya kweli ya kutuletea maendelea.
 
Screenshot_20250926-120918.png
 
Inawezekana, maana 2020 si walifanya hivyohivyo, ama wanaweza wasizime ila chuma ikawa slow kama konokono.
 
Hili likifanyika litakuwa na hasara nyingi hasi kwa Wananchi, hasa kwa wanaotegemea Mitandao kufanya biashara

Itaonekana hii Nchi haina Wazee wa kushauri, wakati Wazee tupo 🙌
 
Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically.

Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na hatari kwa usalama wa Taifa kuliko mitandao itakavyokuwa on.

Maandamano yameleta taaruki mafisadi wapo na kijasho cha hatari Sana.

Ingawa Kuna watu wanachukulia pouwa lakini nawaambia hata watu laki 5 wakitoka siku hiyo nchi haitokaa itawalike tena.
Kama ni hivyo kweli huenda imeanza na ya kifeza kwanza halafu hiyo!
 
Back
Top Bottom