technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidityWanaomshauri ndio wanazidi kumpoteza.
Wazime wasizime haizui wao kuendelea kuonekana watu wanaotubananga na kutubagaza bagaza..Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically.
Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na hatari kwa usalama wa Taifa kuliko mitandao itakavyokuwa on.
Maandamano yameleta taaruki mafisadi wapo na kijasho cha hatari Sana.
Ingawa Kuna watu wanachukulia pouwa lakini nawaambia hata watu laki 5 wakitoka siku hiyo nchi haitokaa itawalike tena.
Labda iwe hivyoMitandao kuizima ni ngumu, kwa sababu kwa miaka 5 sasa wamewawezesha wananchi kujua kona zoote za kuruka viunzi hivyo.
LABDA WAZIME INTERNET.
Kama ni hivyo kweli huenda imeanza na ya kifeza kwanza halafu hiyo!Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically.
Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na hatari kwa usalama wa Taifa kuliko mitandao itakavyokuwa on.
Maandamano yameleta taaruki mafisadi wapo na kijasho cha hatari Sana.
Ingawa Kuna watu wanachukulia pouwa lakini nawaambia hata watu laki 5 wakitoka siku hiyo nchi haitokaa itawalike tena.
Wakichomoa nini waya au betri?Ccm wakichomoa hii nitaamini kweli hawatotoka milele, Sijawahi kuwa upande wa looser.