Tetesi: Mitandao ya kijamii kuzimwa siku 5 kabla ya uchaguzi

Itakuwa ni old script maana waliwafanyia hivyo watu kuanzia October 28 hadi November 3 , 2020 na wanafiki kama Pascal Mayalla wakasema mitandao haikuzimwa bali ilizidiwa sababu ya watu wengi kuwa na smartphone walizotumia kufuatilia uchaguzi.
 
Nnachojua trhe 29 natoka nyumbani saa moja asbhi nnapoelekea najua mwenyewe na mashosty zangu tushajipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…