Badooo masaaaWapuuzi fulani tu..
Hawajui tu hasara wanayotupa!!
Alaf kila siku wanadai mitandaoni hamna wapiga kura, Sasa hofu yao ni nini?
HahaaaaahaaaSimba ingelicheza leo na kufungwa mbona usingizi ungelikuwaa mzuriii
kwa usalama wa taarifa
Leo ndugu tumia VPN tu si YouTube tu hata Facebook, Instagram n.k yote yanagoma sijui wanataka kutunini..😅Wadau naombeni maujanja ya kulog youtube inaload tu[emoji854]
Mpaka WhatsApp imegomaNimeona na mataga huko wanalialia huko dawa ishaanza kuingia walidhani hali itakua kwa upendeleleo ! Nachojiuliza mtu kama amejenga flyover sjui mabwawa na kusema anakubalika why afanye traffic jam ya internet?
Usalama wa taarifa zipi?kwa usalama wa taarifa
Hili hata mimi limenishangaza... wana wasiwasi wa niniWhatsApp, Facebook na Instagram tayari zimezuiliwa tanzania bara ivi wewe unaona kulikua na ulazima wowote wa kufanya hivi?
wanapoelekea watazima internet.Mchawi VPN
Kudownload vpn kwenyewe kisanga na nusu,App store wala play store hazifunguki.
Yani punguani kama wewe umejibu hapa huku ukiwa unatumia VPN alafu unabwatuka ujinga!kwa usalama wa taarifa