Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

We jamaa halafu mimi hiyo text hawajanitumia, au wanachagua? Wanaangalia nyie mnaoongea ongea sana sisi wanyonge wanatuacha tunyongeke??
Wametuma kwa watu wengi sana naona labda wanatuma nyakati tofauti.
 
Kwa kweli wamezid kutuonea wananchi wkt wao hawajapunguza matumizi yao.
 
Kama vipi waendee kwa babu
Naandika heading yangu wao wanafuta wanaandika yao. Naanza kuhisi kuna demu wangu yupo humo kwenye chumba cha mods....
 
Why tulipie sisi sasa na hela hatukuziona zikituhudumia....?!
 
Eti bana kodi hadi kwenye sadaka za waumini.... Umewahi ona wapi hiyo kitu?!
Hahahahaha watu wanakula 18% kwenye collection plates πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna haja yule bibi aache mambo ya uongozi by 2025 afanye resignation!

Katika kipindi ambacho nchi haina mwenyewe ni hiki!
 
Usitetee ujinga ni msoga
Wewe ndiye unalazimisha ujinga.
Wa Kudemka yuko kwenye kiti kikatiba, halazimishwi kuupokea ushauri wa mtu yoyote. So anapotekeleza ushauri wa Msoga hiyo sisi tunahesabu ni yeye.
Pia kupokea ushauri wa hovyo inamaanisha nawe ni wa hovyo vilevile
 
Nimehamahama mitandao kwasababu ya gharama hadi nimechoka, Nilikuwa Voda,niaenda Airtel, Nikaona Airtel uchawi umeingia nikaamua kwenda Halotel,huko nako nikaona sio ishu saa hivi nipo Zantel nako nasikiliza sijui itakuwaje.
 
Huu mdumange hadi laha ujue
Imagine umepewa u' CEO wa kampuni kubwa na unategemewa kufanya maamuzi muhimu biashara ilipe halafu unakutana na upuuuuuuzi unaletwa na zinazojiita mamlaka za kiserikali kuharibu mazingira ya kibiashara.
 
Nilikuwa nataka nijiunge bundle la mwezi Leo, yaani tungekutana tena September huko, maphisaoo!

Sema mambo ya 'hii dunia yetu' yanapelekwa kwa kuyumbayumba mno! Mungu atusaidie tu.
Mtandao gani na GB ngapi kwa kiasi gani
 
Mwigulu ni changamoto kiutendaji, hakutakiwa kuwapo pale.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…