binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kwa taarifa yako huo ni wizi wa kidola, serekali ndio inayochukua hela hizo kimya kimya kwani haina fedha, na wanaogopa kuweka tozo zaidi kwani zinapandisha zaidi hasira ya umma. Kama huamini nenda kafungue kesi mahamani kama utashinda, na hata ukishanda uone kama Kuna hatua watachukuliwa. Kipindi Cha magufuli huo mchezo ulishika kasi.Tutafute namna ya kuwashtaki. Uzuri mi nikiwapigia narecord maelezo yao. Hii nchi sasa hivi wanyonge hawana mtetezi! Nadhani watawala karibu wote ni wabia wa hiyo mitandao. Wakipewa 10% wanakaa pembeni wanakula kwa urefu wa kamba!
Hiyo ndiyo kazi ya TCRA. Hiyo ndiyo mamlaka ya udhibiti kwa upande wa simu. Peleka lalamiko lako rasmi. Usilalamike kabla ya kuchukua hatua. Wasipo kujibu baada ya muda, lalamika humu kwenye mtandao watu wengi tu watakusaidia.Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.
Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.
Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.
Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Mimi naungia moja kwa moja toka mpesa. Ni bora nikatafute wakala mbalii niweke pesa mpesa kuliko kunununua vocha.Binafsi hao halotel nilishaacha kabisa kutumia hiyo line ingawaje baada ya kuwalalamikia waliacha kukata.
Hawa vodacom mara nyingi huwa siweki salio nanunua kwa mpesa. Sasa jana wamenifanyia upuuzi niliweka muda wa maongezi nikakuta wamekata karibu elf 1. Nilipowagia wakadai eti nimejiunga na huduma ya muito kwa wanaokupigia!
How?, when?, where? Mara oh nilikopa nipige tafu! Me? When, how?
Yaani hapa nahitaji msaada wa kujua namna naweza kuwashtaki. Wanakera sana! Hela inatafutwa kwa shida jamani wenyewe wanaikwapua tu bila maridhiano!😲
Nilichoamua Voda, halotel,nimeziweka pending,.ngoja nitumie eatel kwanzaHalotel wanaongoza , ukiwapigia kwenye namba 100 hawapokei , ni wezi kabisa yaani
Wahi karipoti ChatoHuo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.
Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.
Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.
Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Mmmmm sidhani kama kweli......labda ungemfuata huko aliko badala kulalamika mitandaoHuo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.
Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.
Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.
Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Binafsi hao halotel nilishaacha kabisa kutumia hiyo line ingawaje baada ya kuwalalamikia waliacha kukata.
Hawa vodacom mara nyingi huwa siweki salio nanunua kwa mpesa. Sasa jana wamenifanyia upuuzi niliweka muda wa maongezi nikakuta wamekata karibu elf 1. Nilipowagia wakadai eti nimejiunga na huduma ya muito kwa wanaokupigia!
How?, when?, where? Mara oh nilikopa nipige tafu! Me? When, how?
Yaani hapa nahitaji msaada wa kujua namna naweza kuwashtaki. Wanakera sana! Hela inatafutwa kwa shida jamani wenyewe wanaikwapua tu bila maridhiano!😲
Juzi nimeleta humu Uzi wa mitandao wanavyounga watu kwenye matakataka yao bila wewe kujua kisha wanaanza kukata pesa. Juzi nimewakia HALOTEL kwa upuuzi km huuHuo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.
Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.
Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.
Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Mjinga mkubwa kwani Magufuli alikuwa anafanya kazi kwenye hayo makampuni? Upumbavu wako mwenyewe unabonyeza vitufe bila kusoma maelezo halafu unasingizia kampuni!Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.
Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.
Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.
Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Voda,nimeweka pembeniMwanzoni mwa 2022 nilijua voda hawana akili, walinibambikia 3000. 00 kila nikiweka salio naambia halitoshi , nikaamua kulipa lote 3000.00 shida ikaongezeka mara mbili. Nikachomoa line , moja kwa moja tigo. December 2023 nimeianza na makato ya deni la 3000. Majuzi limepevuka sasa 4000.00 sasa sijui nitumie line gani!!!!
Hii line niliyonayo nimeitumia miaka zaidi ya 10 na sijawahi kulalamikia hilo suala kwasababu halikuwahi kunikuta. Isipokuwa kwa mtandao wa halotel niliwahi kuwaeleza na hawakunikata tena.Mmmmm sidhani kama kweli......labda ungemfuata huko aliko badala kulalamika mitandao