Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

Hili ni la kweli hata haujawasingizia.

Vodacom ninyi, kwanza kabisa wateja wenu tunalipia huduma kwa gharama kubwa sana, bado mnatuibia hivyo vipesa vidogo vidogo why? very unfair.

Kuna siku tutashitakiana nawaambia.
 
Tutafute namna ya kuwashtaki. Uzuri mi nikiwapigia narecord maelezo yao. Hii nchi sasa hivi wanyonge hawana mtetezi! Nadhani watawala karibu wote ni wabia wa hiyo mitandao. Wakipewa 10% wanakaa pembeni wanakula kwa urefu wa kamba!
Kwa taarifa yako huo ni wizi wa kidola, serekali ndio inayochukua hela hizo kimya kimya kwani haina fedha, na wanaogopa kuweka tozo zaidi kwani zinapandisha zaidi hasira ya umma. Kama huamini nenda kafungue kesi mahamani kama utashinda, na hata ukishanda uone kama Kuna hatua watachukuliwa. Kipindi Cha magufuli huo mchezo ulishika kasi.
 
Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.

Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.

Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.

Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Hiyo ndiyo kazi ya TCRA. Hiyo ndiyo mamlaka ya udhibiti kwa upande wa simu. Peleka lalamiko lako rasmi. Usilalamike kabla ya kuchukua hatua. Wasipo kujibu baada ya muda, lalamika humu kwenye mtandao watu wengi tu watakusaidia.
 
Binafsi hao halotel nilishaacha kabisa kutumia hiyo line ingawaje baada ya kuwalalamikia waliacha kukata.

Hawa vodacom mara nyingi huwa siweki salio nanunua kwa mpesa. Sasa jana wamenifanyia upuuzi niliweka muda wa maongezi nikakuta wamekata karibu elf 1. Nilipowagia wakadai eti nimejiunga na huduma ya muito kwa wanaokupigia!
How?, when?, where? Mara oh nilikopa nipige tafu! Me? When, how?

Yaani hapa nahitaji msaada wa kujua namna naweza kuwashtaki. Wanakera sana! Hela inatafutwa kwa shida jamani wenyewe wanaikwapua tu bila maridhiano!😲
Mimi naungia moja kwa moja toka mpesa. Ni bora nikatafute wakala mbalii niweke pesa mpesa kuliko kunununua vocha.
 
Mimi walinikata Tena mpesa nikaambiwa nadaiwa, kuwapigia wakasema Kuna hitilafu
Nikawapigia tcra wakasema niwasiliane na bot. Mwisho wa siku walirudisha pesa yangu.
Mara nyingi ukiona MAKAMPUNI ya simu yanaanda promotion jua hizo pesa wanakata toka kwa wateja.
 
Mwanzoni mwa 2022 nilijua voda hawana akili, walinibambikia 3000. 00 kila nikiweka salio naambia halitoshi , nikaamua kulipa lote 3000.00 shida ikaongezeka mara mbili. Nikachomoa line , moja kwa moja tigo. December 2023 nimeianza na makato ya deni la 3000. Majuzi limepevuka sasa 4000.00 sasa sijui nitumie line gani!!!!
 
Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.

Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.

Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.

Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Wahi karipoti Chato
 
Ttzo watu mnapigwa afu hamtumii akili. Nawapa hii Sasa. Tafuta laini ambayo huingii internet kabisa Wala hujajiunga na huduma yoyote Tena ukiwa na mwanasheria. Tia Salio la kawaida liache. Yan kwa tigo, Airtel na voda watakukata tu. Wakikata ukiulizia Salio screen shot fanya hivyo kwa kuangalia hata kwa siku 2 au 3 then file kila kitu na uende TCRA ukiwa na mwanasheria wako. Yan hata kama ni 500 hao unaweza kudai fidia hata billion. Ni basi tu wabongo hayo mambo hatufuatilii nikiwemo Mimi. Nilijaribu kwa artel ikaensa fresh nikaja kuzingua baada ya kuwasha data kwa kujisahau ila sijakata tamaa
 
Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.

Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.

Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.

Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Mmmmm sidhani kama kweli......labda ungemfuata huko aliko badala kulalamika mitandao
 
Hao kuwashtaki kwa laini za zamani ni ngumu mno! Labda uwe na laini mpya na uwategeee huku ukirekodi ushahidi. Unaweza kushangaa unaenda HQ wanakuonyesha kua ulijiunga. Jamaa ni wajanja. Kuwapata mkuu tafauta laini mpya. Afu kesi za hivyo ni rahisi sana kupata advocate coz zina ela Tena hawatakuchaji mpka ulipwe then kunakua na percentage yao
Binafsi hao halotel nilishaacha kabisa kutumia hiyo line ingawaje baada ya kuwalalamikia waliacha kukata.

Hawa vodacom mara nyingi huwa siweki salio nanunua kwa mpesa. Sasa jana wamenifanyia upuuzi niliweka muda wa maongezi nikakuta wamekata karibu elf 1. Nilipowagia wakadai eti nimejiunga na huduma ya muito kwa wanaokupigia!
How?, when?, where? Mara oh nilikopa nipige tafu! Me? When, how?

Yaani hapa nahitaji msaada wa kujua namna naweza kuwashtaki. Wanakera sana! Hela inatafutwa kwa shida jamani wenyewe wanaikwapua tu bila maridhiano!😲
 
Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.

Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.

Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.

Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Juzi nimeleta humu Uzi wa mitandao wanavyounga watu kwenye matakataka yao bila wewe kujua kisha wanaanza kukata pesa. Juzi nimewakia HALOTEL kwa upuuzi km huu
 
Vodacom ni mtandao mzuri sema wanavitu Vingi . Mno wapunguze biashara pandikizi ndogo ndogo Mfano hizo Nyimbo mara simulizi michezo kibao unaitajika ulipie lakin uhalisia kwa upande wa network na Internet wanakasi ya ajabu apo tuwasifu.
 
Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.

Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.

Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati si kweli.

Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Mjinga mkubwa kwani Magufuli alikuwa anafanya kazi kwenye hayo makampuni? Upumbavu wako mwenyewe unabonyeza vitufe bila kusoma maelezo halafu unasingizia kampuni!
 
Mwanzoni mwa 2022 nilijua voda hawana akili, walinibambikia 3000. 00 kila nikiweka salio naambia halitoshi , nikaamua kulipa lote 3000.00 shida ikaongezeka mara mbili. Nikachomoa line , moja kwa moja tigo. December 2023 nimeianza na makato ya deni la 3000. Majuzi limepevuka sasa 4000.00 sasa sijui nitumie line gani!!!!
Voda,nimeweka pembeni
Siweki vocha wala nn,ipo hewani tu na sitakaa niweke .
Halotel pia nimeiweka pending rasmi,siwrki vocha wala Chochote.

Ngoja nitumie eatel kwanza, Bora ht wao Huwa wananipa vifurushi vya Bure wakati mwingine
 
Mmmmm sidhani kama kweli......labda ungemfuata huko aliko badala kulalamika mitandao
Hii line niliyonayo nimeitumia miaka zaidi ya 10 na sijawahi kulalamikia hilo suala kwasababu halikuwahi kunikuta. Isipokuwa kwa mtandao wa halotel niliwahi kuwaeleza na hawakunikata tena.
Ila sasa hawa vodacom jana wamekata hela yangu na mbaya zaidi maelezo wanayotoa sio sahihi yanakinzana! Mara oh nilikopa, tena wanadai nilijiunga na muito kwa wanipigiao. Wapuuzi sana!

Nahitaji wenye tatizo kama langu tuungane tufungue kesi. Mi niko tayari kutafuta hela ya kugharamia wakili mahiri!
 
Back
Top Bottom