Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hatq mjini Starlink ni nafuu. Mnaweza tumia hata watu mia na kasi ikawa nzuri tu.Wanaoitaka starlink ije wengi wao hawana uwezo wa kuihudumia. Hiyo ni nzuri kwa watu ambao wako remote areas, hapa mjini hata vodacom kwa 120,000 unapata unlimited 30Mbps
ila mkuu star link wana unafuu japokua starting price ni kubwa, na hapo pa 110$ inaweza isiwe hivo, nimecheki juzi hapa wa nigeria wanapata maximum speed ya 200 na ushee mbps kwa dollar 43, roughly 100K, ambayo ni far better.thubutu, bei ya modem pekee ya Starlink ni $600
bando la chini ni $110 kwa mwezi
Rudi ukafanye upya research yako mkuu....Satellite internet ina spidi ndogo ukilinganisha na internet ya fiber.
Uko USA kwenyewe T-Mobile, At&T nk bado zimetawala stanlink inatumika zaidi vijijini maeneo ambayo fiber haijasambazwa
Pia starlink ina gharama kubwa kuliko hata rates za sasa za Vodacom superkasi ambayo ndio home internet yenye gharama zaidi ukilinganisha na zuku na ttcl
Mkuu vipu kwasasa bado unadhani jamaa ni mtu wa "blah blah"?Tatizo siku hizi Elon Musk anaongea sana hadi anakaribia kua mpumbavu alitangaza kuinunua Twitter kumbe alikua anatafuta kuongelewa tu, akatangaza kuinunua Manchester United kumbe alikua anatafuta kiki tu.
Uwezo anao kweli lakini aache kubonga sana afanye vitendo zaid
Research zipi.Rudi ukafanye upya research yako mkuu....
Hiyo ttcl ni fixed, ya voda unaweza weka line kwenye simu ukawa watumia simuKumbe hujui TTCL 200,000 unapata 100mbps