Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 461
- 574
- Thread starter
-
- #21
Hapana. Sasa hivi hapa Tanzania kuna baadhi ya kampuni wanatumia starlink. Niambie wananunua kutoka kwenye mtandao gani wa simu kama siyo wanalipa moja kwa moja kwa Elon Musk?Ndiyo watanunua mzigo kwa musk wakuuzie wewe.
Mimi nataka alete ushindani mkuuKwa uelewa wangu mdogo hio satellite Internet ita hitaji very high quality devices sio hiyo tecno F1 yako ya laki na nusu. Imagine tu television leo zinatumia satellite lakn niambie uendeshaji wake ulivo.
Hata hivyo ile ni biashara hiyo Internet lazima tu itauzwa ili jamaa aendelee kupiga mpunga.
chukulia mfano pia alivoanzisha magari ya umeme, wengi tulisema "sasa ewaaaa.. kamserereko" lakini uhalisia wake ni kwamba hazishikiki, cheap tesla car inaanzia around dollar 45,000 sawa na milion 105 za tz, bado garama za uendeshaji.
Anyway msikate tamaa
Zamani nokia jeneza ilikuwa inauzwa laki na nusu... 😄😄 Philips ya mkonga elfu 90 na ukiwanayo we ni 'freemason'
Ushabiki mbaya mambo sio marahisi kama watu wanavyodhaniStarlink ipo Mozambique ni ghali sana
Way too farMimi nataka alete ushindani mkuu
Yule ana akili lakin anapenda kick sana na mambo sio marahis kama watu wanavyochukuliaElon ametoa hiyo habari na atazidi kuipromote ili vibopa wa hisa wakatie mzigo
Mchizi ana cheza mind game sana yule
Hata hizo safari zake za kwenda mars, kila siku anakuambia anatest mitambo
Mara hadi mwaka gani
Ata akifanikisha, gharama yake haitakua kama sasa kifurushi cha week buku jero
Ccm tuliichagua wenyewe, tuache kusumbua watu
Hata safari za mars as long hamna ozone layer kwenye hizo sayari nyingine zitakua za gharama kubwa sana na hata mtu akienda hatakaa Zaid ya lisaa itabid ageuze chap kwa harakaElon ametoa hiyo habari na atazidi kuipromote ili vibopa wa hisa wakatie mzigo
Mchizi ana cheza mind game sana yule
Hata hizo safari zake za kwenda mars, kila siku anakuambia anatest mitambo
Mara hadi mwaka gani
Ata akifanikisha, gharama yake haitakua kama sasa kifurushi cha week buku jero
Ccm tuliichagua wenyewe, tuache kusumbua watu
Musk kuuza kwa individual sizani aisee na ndiyo maana hapo mwenyewe umesema “baadhi ya kampuni” naamini itakuwa B2BHapana. Sasa hivi hapa Tanzania kuna baadhi ya kampuni wanatumia starlink. Niambie wananunua kutoka kwenye mtandao gani wa simu kama siyo wanalipa moja kwa moja kwa Elon Musk?
Jamaa ni genius, na level za quality zakeYule ana akili lakin anapenda kick sana na mambo sio marahis kama watu wanavyochukulia
Huwezi kukaa mars week nzima ukatoboa.Hata safari za mars as long hamna ozone layer kwenye hizo sayari nyingine zitakua za gharama kubwa sana na hata mtu akienda hatakaa Zaid ya lisaa itabid ageuze chap kwa haraka
Ni ngumu sababu kubwa ni solar radiation, hakuna oxygen na gravitational force ni ndogo sana means mtu atatembea kwa shida sanaHuwezi kukaa mars week nzima ukatoboa.
Idea zake ni theoretical sana, life in mars.
Eti duniani kuna siku haitakua salama
Jamaa anacheza na akili zetu
Sina uhakika sana kuhusu gharama lkn nnachokuhakikishia ni kwamba StarLink sio mpinzani wa hii internet ya simu moja moja (ambayo wengi ndo wanatumia) bali ni mpinzani wa hizi aina mpya za huduma ya internet kama vile TTCL Fibre, supakasi etc... ambazo zinamuhitaji mtu awe na router. Na hizo hutumika mara nyingi ofisini au kwa wenye familia kubwa zinazohitaji matumizi makubwa ya internet kama vile hawa wachina au wahindi waliopo huku kikaziMwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo.
Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite zake yeye mwenyewe alizoweka angani huko. Naona kama mpango wa Elon Musk utaweza kuumiza biashara ya Internet inayotumika na mitandao ya simu inayotumia minara. Hivyo itaweza kuleta ushindani wa kibiashara.
Lakini na wasiwasi kama mitandao ya simu ya hapa Tanzania itaweza kushindana na Elon Musk kulingana na Teknolojia anayotumia?
Natamani Elon Musk angeanzisha hata mwaka huu ili tupumue gharama za vifurushi. Mitandao ya simu pigeni faida kwa mara ya mwisho. Kuanzia mwaka ujao bilionea atawanyanyasa sana. Je mtaweza kushindana naye?
Wanajukwaa mna mtazamo gani juu ya hili?
hili la starlink tushalizungumzia sana starlink sasa hivi ipo kwenye majaribio nchi kadhaa za Africa kama Nigeria na MsumbijiMwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo.
Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite zake yeye mwenyewe alizoweka angani huko. Naona kama mpango wa Elon Musk utaweza kuumiza biashara ya Internet inayotumika na mitandao ya simu inayotumia minara. Hivyo itaweza kuleta ushindani wa kibiashara.
Lakini na wasiwasi kama mitandao ya simu ya hapa Tanzania itaweza kushindana na Elon Musk kulingana na Teknolojia anayotumia?
Natamani Elon Musk angeanzisha hata mwaka huu ili tupumue gharama za vifurushi. Mitandao ya simu pigeni faida kwa mara ya mwisho. Kuanzia mwaka ujao bilionea atawanyanyasa sana. Je mtaweza kushindana naye?
Wanajukwaa mna mtazamo gani juu ya hili?
Zambia ipi ?nipo Lusaka nielekeze@TypicalNimeona keshaanza kutest na zambia
Ndo maana nilimwambia muanzisha uzi aache ushabiki mambo sio marahisi kama anavyodhanihili la starlink tushalizungumzia sana starlink sasa hivi ipo kwenye majaribio nchi kadhaa za Africa kama Nigeria na Msumbiji
ada ya mwezi ni $99 (around 240,000) kwa kifurushi cha kawaida na premium ni dola 500 ambayo roughly ni 1.2m
hio ni satelite internet ambayo ina speed mbovu tu hasa latency, inauzwa laki 2 na 40 kwa mwezi, huwezi cheza games vizuri na vitu vingi ambavyo una live stream havitakua vizuri
fiber, 4g na 5g zote zina speed nzuri kuliko starlink, TTCL kuanzia 55,000, voda 5G kuanzia 120,000, zuku kuanzia 69,000 etc ni much better.
starlink waachie watu wa vijijini mkuu wenye pesa, haitaondoa mtandao wowote ule wa Tanzania.
Mjadala umefungwaSatellite internet ina spidi ndogo ukilinganisha na internet ya fiber.
Uko USA kwenyewe T-Mobile, At&T nk bado zimetawala stanlink inatumika zaidi vijijini maeneo ambayo fiber haijasambazwa
Pia starlink ina gharama kubwa kuliko hata rates za sasa za Vodacom superkasi ambayo ndio home internet yenye gharama zaidi ukilinganisha na zuku na ttcl