Tarajien magonjwa mengi ya saratani na vifo vya ghafla, bila kusahau kuongezeka kwa vizaz vya watoto walemavu.
Satellite inapofanya mawasiliano kutoka ilipo mpka kukufikia ulipo, kuna nishati ya electromagnetic waves inayosafiri kwa kasi ambayo ili upate signal zake inabidi na device yako iwe na strong radio/ waves receiver ili kupata mawasiliano yasiyo na mikwamo kwamo.
Pia itahitajika nguvu kubwa ya nishati ktk device yako ili iweze kudumu na chaji kwa muda mrefu ikipambania kukamata hayo mawimbi.
Radiation hizo huwa na waves length tofaut tofaut kulingana na uhitaji wa matumiz, mfano ili mtandao uwe strong bila kukwama itahitajika energy kubwa ya uzalishaji wa mawimbi hayo kwa kasi na frequency kubwa ili kukufikia mhitaji, kama mujuavyo, mawimbi hayo huwa na athari kwa mwili wa binadamu, kuanzia akili, genetic effect kiujumla uhai wako uko hatarin.
Tuombe wabuni njia ambazo ni salama, hata hizi simu tunapotumia zina athari kutokana na upokeaji wa mawimbi hayo kutoka ktk minara/mitambo, na mujue kuwa jinsi unavyoongeza kasi ya mtandao 3g/4g/5g ndivyo kasi na nguvu huwa attracted kwa device yako na wew mtumiaji tegemea athari japo hazitokuwa za ghafla, mfano kupungua nguvu za kiumbe kama device yako huifadhiwa mifuko ya suluali ambapo , mawimbi hayo huweza kukupiga na kuathiri uzazi wako, pia ugumba utegemee
Jinsi × ray inavyofanya kazi, nuclear radiation zinavyofanya kazi ndivyo hivyo Radio waves za mawasiliano hufanya kazi, ni vile hizi hazina nguvu sana, lkn madhara yapo makubwa.
Serikal zinapokubali technologies ziwe zinatoa na side effects za hizo technologies bila kusahau ways za kujikinga maana hizi nchi zetu masikin raia ni wabishi wa kujali afya zao.